Rais Samia aenda Msumbiji kwa kikao cha dharura cha SADC

Kikao cha dharula kwa dharula ipi? Kati ya agenda walizozitaja hakuna hata moja unaweza kusema ni agenda ya dharula! Ugaidi Msumbiji siyo dharula! Ugaidi upo nchini humo kwa muda mrefu!

Corona pia siyo dharula kwa sasa. Labda ilikuwa dharura ilipoingia 2019 na labda 2020! Kwa leo corona si dharula!! Viongozi wa Afrika iweni makini msije mkatumika kama rubber stamp kupitisha agenda ya siri ya mabeberu kuhusu corona na biashara kubwa nyuma yake ya kulazimishwà kununua chanjo kwa ajili ya corona inayotafutwa kwa nguvu hata kwa tochi!
 
Yote sawa, sisi tunataka tuishi kwa amani tu, ushamba wakutekana tekana Kama alivyokuwa anafanya dikteta , na kuvamia bureau de change zetu kukomba fedha, hatutaki

Acha mama asafiri kuleta mkate kwa watoto, magufuli alikuwa hajui Lugha ya malkia ndiomaana alishindwa kusafiri kwa kutojiamini
 
Ni mkutano wa wakuu wa nchi hakuna sababu ya kutumatuma wawakilishi, kama anayo nafasi hata ikitokea mikutao 1000 mwacheni akahudhurie ni sehemu ya majukumu yake ya msingi!
ALL THE BEST MADAM PRESIDENT!
hatukatai lkn tunaangalia gharama.wananchi hawana kitu,wabunge wanaota kulipwa kwa dola,hospitalini sasa ukiandikiwa dawa tatu unapata moja na zingine famasi sasa haya masafari ya nini ?tujenge kwanza uchumi sasa hivi biashara haziendi na wananchi hawana kitu mifukoni mwao.kwa nini ss waafrika tunapenda sana ziara tulilogwa na nani?
 
Seems Mama alikuwa anaumia mnooo enzi zile wakati Magufuli anasnub hizi meetings za masaa matatu tu ambazo zingeweza kufanywa virtually kwa kutumia Zoom
 
Lala huko wewe Bashite
Kwa majibu yako unaonyesha huna data kabisa. Yaani ukiulizwa hapo data za bajeti za ziara za raisi nje ya nchi hujui lakini unavyohoji sasa. Fuatilia kwanza utakuwa na nguvu za kuhoji gharama, pengine utakuwa upande wa serikali utakapokuwa na correct information.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…