Rais Samia aenda Msumbiji kwa kikao cha dharura cha SADC

Sina muda mchafu
 

Hivi ndege ya rais ile Gulf Stream aliyoleta Che Nkapa iko wapi?

Mama ni mwendo wa dreamliner tu?
 

..mtoa mada amekosea kusema ni kikao cha dharura.

..sadc extraodinary summit ni kikao cha juu kabisa cha viongozi wa nchi za sadc.

..kutokana na umuhimu wake ndio maana raisi amehudhuria. Majuzi kulikuwa na kikao kingine na Raisi aliwakilishwa na Dr.Hussein Mwinyi.

..Dr.Magufuli alikuwa hawezi kuhudhuria mikutano nje kwasababu ya ugonjwa wa moyo uliokuwa ukimsumbua. Wakati wote alikuwa akiwakilishwa na Mama Samia.

..Kwasababu Mama Samia alikuwa akimuwakilisha Rais basi delegation / ujumbe wake ulikuwa na hadhi ya Raisi. Kwa msingi huo gharama za kumsafirisha, na huduma zake, zilikuwa sawa na angesafiri Raisi Magufuli.
 
..Kikwete alisafiri kupita kiasi. Kuna mikutano alikuwa anahudhuria haikuwa ya hadhi ya Raisi.

..Mama Samia anapaswa kusafiri na kushiriki vikao na mikutano ambayo Maraisi wenzake wanahudhuria.
Kipenda roho hula nyama mbichi.
 
Gharama alizokuwa anatumia mwendazake mbona zinalingangana tu mkuu
Aisee hazilingani hata nusu.
Ardhini magari yakifahari zaidi ya 100.
Wakaazi walisimama takribani 2/3 hrs apite komandoo.
Akawa anatembea na mkurugenzi wa usalama na kumnadi popote alipo.
ANGANI
Helkopita mbili zikimfuatilia akiwa chini ya ardhi.
 
Wamekubaliana kuwa na jeshi moja kupambana na ugaidi kaskazini ya Msumbiji. Ndio hawa waliopigwa mkuranga na kisiju wakati wa JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…