Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Muha ni mzoefu sana wa kuongea na taasisi kubwa kama IMF na world bank.Amtume Nani? Huyo muha wewe unamuona ni presidential material kuwakilisha nchi kwenye high level policy dialogue!?
Muha ni mzoefu sana wa kuongea na taasisi kubwa kama IMF na world bank.
Bajeti zilipokuwa zikipungua ni yeye aliyekwenda New York kuongea na wakubwa wa dunia ili tupatiwe pesa.
Unaacha kuangalia gharama zinaziliwa na wabunge hewa wasio wanachama wa chama chochote cha siasa(wale Covid19) kitu ambacho ni kukiuka katiba na ubadhilifu shahiri dhahiri lakini kwa unafiki raisi anapohudhuria mikutano ya maana na ya lazima unadai ni gharama.Tuna angalia gharama mkuu
Naibu atakuwa na uwezo ambao akiwa mbele ya watu hauonekani...I wish wizara ya fedha ingekuwa chini ya makamu wa raisi.
..naamini "muha" akipewa uhuru wa kutumia taaluma yake, na chini ya uongozi mpya, anaweza ku-perform vizuri.
..pia watafute mzenji msomi more competent akam-replace yule naibu pale wizarani.
Kuongea ukiwa mtumwa, umetumwa na slave master wako ni tofauti kabisa na kuongea ukiwa kiongozi ukihitaji kuonesha confidence ya kiuongozi kwa watu unaowaongoza.Muha ni mzoefu sana wa kuongea na taasisi kubwa kama IMF na world bank.
Bajeti zilipokuwa zikipungua ni yeye aliyekwenda New York kuongea na wakubwa wa dunia ili tupatiwe pesa.
Faida yake tuliiona miji mingi ilijengekaMara hii!?
JK alipomaliza siku 100 za U Rais, safari za nje alikuwa amemzidi Mwai Kibaki aliyekuwa amemaliza miaka mitatu!
Huyu mama hakaimishi? ndani ya miezi 3 ameshatoka zaidi ya mara 5
Mwalimu mkuu wa secondary mwenyewe kila siku yupo safari ijekua mkuu wa Nchi?
Dr Mpango yupo vizuri kichwani kwa maana ya uwezo wa kufanya maamuzi na utulivu wakati wa kuyafafanua.Kuongea ukiwa mtumwa, umetumwa na slave master wako ni tofauti kabisa na kuongea ukiwa kiongozi ukihitaji kuonesha confidence ya kiuongozi kwa watu unaowaongoza.
Safari na kuteua Hadi 2025.
Kuna balozi wa nyumba kumi pia.Mnaye mwenyekiti wa kijiji, mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata, mwenyekiti wa halmashauri, mkurugenzi wa halmashauri, DAS, Mkuu wa wilaya, RAS, Mkuu wa mkoa, Waziri. Hao kama hawatoshi kuwafanyia kazi zenu hakuna mtu atatosha.
π π πMwendazake hapo asingeenda, angemtuma Chalamila amuwakilishe
Alienda mpaka Jamaica kupiga picha na Hussein Bolt...Kikwete alisafiri kupita kiasi. Kuna mikutano alikuwa anahudhuria haikuwa ya hadhi ya Raisi.
..Mama Samia anapaswa kusafiri na kushiriki vikao na mikutano ambayo Maraisi wenzake wanahudhuria.
Akili haunaTuna angalia gharama mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeAlienda mpaka Jamaica kupiga picha na Hussein Bolt.
Viongozi wa Nchi wanapokutana wanatufungulia njia hata sisi hapo juzi kaja Rais wa Botswana pale kwao matruck ya Tanzania kupita walianza vipengele fulani Rais wao alipokuja tuu hayo mambo hakuna tena...Huyu mama hakaimishi? ndani ya miezi 3 ameshatoka zaidi ya mara 5
Ana mengi yakujifunza,pia ni fursa nzuri ya kukutana na viongozi wengine na kubadilishana mawazoHuyu mama hakaimishi? ndani ya miezi 3 ameshatoka zaidi ya mara 5
Tuangalie na faida zake pia.Tuna angalia gharama mkuu