GE2025 Rais Samia aendelea kugawa Bahasha za Maokoto, Msaga Sumu aokota huko Namtumbo

GE2025 Rais Samia aendelea kugawa Bahasha za Maokoto, Msaga Sumu aokota huko Namtumbo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Bahasha zinatembea, beat likipigwa! 😳

Rais samia ameendelea na "desturi" ya kugawa bahasha za Maokoto kwa Wasanii kila wanapotumbuiza kwenye shughuli zake na leo Msaga Sumu hakusalimika, kapokea zake huko Namtumbo wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini ya urani. leo Julai 30, 2025.




​
 
Hii nchi kwa sasa inajengwa na wengi, ila inaliwa na wachache.
Ndio maana kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Mcheki mwamba hapo Chini kwenye battle of Karbala.

Screenshot_2025-07-11-11-53-58-13_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~3.jpg
Screenshot_2025-07-11-11-53-45-34_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Huyu mama bila propaganda na figisu dhidi ya wapinzani wake...angepata kura chache ajabu!
 
Mema gani, pikipiki sijapata, jiko la gas sijapata, baiskeli sijapata, jina langu limekatwa
Usijali yote utapata kwani kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali ameshatuandalia. Alivuka jangwani ili tu kuutetea umma wa waislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Mcheki mwamba hapo Chini akielekea Karbala.

0a5fd8dfcb09b11d9d046035674a68dc.jpg



Monetary doctor Intelligent businessman
 
Hii nchi kwa sasa inajengwa na wengi, ila inaliwa na wachache.
Ukiweza kuwagusa au kuwafikia watu wengi unazawadiwa “Msaga sumu” ni msanii muanzilishi wa mziki wa singeli unaopendwa na watu wengi wa mtaani na kazi yake ni muziki hapo yupo kazini anatafuta kula yake , si vibaya kuwa-rewaded kwa anachofanya #vibayakuiba
 
Ambao ni chawa wa ccm Mm nawaelewa sana, maisha ni maisha ni magumu mno huko kitaani
 
TUNGEKUWA NA TAKUKURU WANAOJITAMBUA KAMA TAKUKURU YA MAREKANI WANGEKUWA WAMEMKAMATA SAMIA NA KUMFUNGULIA MASHITAKA
 
Hii nchi ukiacha kukaza na ukajifanya mjinga tu unakula mema ya nchi,
 
Back
Top Bottom