Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Siasa ni fursaaa usanii ni kusaka fursa!
Ndio maana kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.Hii nchi kwa sasa inajengwa na wengi, ila inaliwa na wachache.
Mema gani, pikipiki sijapata, jiko la gas sijapata, baiskeli sijapata, jina langu limekatwaEvelyn Salt punguza masharti... ule mema ya mama...
Usijali yote utapata kwani kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali ameshatuandalia. Alivuka jangwani ili tu kuutetea umma wa waislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.Mema gani, pikipiki sijapata, jiko la gas sijapata, baiskeli sijapata, jina langu limekatwa
Utaiambiaje familia sasa...Mema gani, pikipiki sijapata, jiko la gas sijapata, baiskeli sijapata, jina langu limekatwa
Ukiweza kuwagusa au kuwafikia watu wengi unazawadiwa βMsaga sumuβ ni msanii muanzilishi wa mziki wa singeli unaopendwa na watu wengi wa mtaani na kazi yake ni muziki hapo yupo kazini anatafuta kula yake , si vibaya kuwa-rewaded kwa anachofanya #vibayakuibaHii nchi kwa sasa inajengwa na wengi, ila inaliwa na wachache.
Kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea π₯Ί π π₯Ί πUsijali yote utapata kwani kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali ameshatuandalia. Alivuka jangwani ili tu kuutetea umma wa waislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
Mcheki mwamba hapo Chini akielekea Karbala.
View attachment 3425057
Monetary doctor Intelligent businessman
Takbir πUsijali yote utapata kwani kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali ameshatuandalia. Alivuka jangwani ili tu kuutetea umma wa waislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
Mcheki mwamba hapo Chini akielekea Karbala.
View attachment 3425057
Monetary doctor Intelligent businessman
Nimenyooshwa, sa hizi suti nitavaa wapi mieUtaiambiaje familia sasa...
Maana mpaka sherehe ulishafanya...
Punguza masharti...π π
Huko Kabala anaenda kupigwa mpaka anakufa mwambie afanye reverseUsijali yote utapata kwani kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali ameshatuandalia. Alivuka jangwani ili tu kuutetea umma wa waislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
Mcheki mwamba hapo Chini akielekea Karbala.
View attachment 3425057
Monetary doctor Intelligent businessman