Pre GE2025 Rais Samia afafanua sababu ya kupendekeza 'Simba mwenye machachari' kuitwa Tundu Lissu

Pre GE2025 Rais Samia afafanua sababu ya kupendekeza 'Simba mwenye machachari' kuitwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
276
Reaction score
473
"Jana kulikuwa kuna viji-clip vinarushwa kulikuwa kuna Simba machachari pale mkorofi kidogo, nikauliza huyu Simba mmempa jina nikaambiwa bado, nikawaambia muiteni mwanangu @TunduALissu mpeni jina la huyu Simba, kwa sababu alikuwa hatulii kama alivyo mwanangu Tundu Lissu," - Rais Samia
View attachment 3078855
#EastAfricaTV
Hiyo ni mbinu ya kisiasa kummaliza Lissu, kwamba ni machachari tu na mtoto wake kisiasa bila uhasama wowote.
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina Kasimu na KAMANDA MULIRO mwende BAKITA mkaangalie ni namna gani TUNDU LISSU ataingizwa kwenye KAMUSI yetu sanifu.

Juzi nimesikia "vijikelele kelele" vya yule simba nikaona ana WAJIHI wa TUNDU LISSU, sasa ni vyema tukamuenzi kupitia BAKITA.

KAMANDA MULIRO nina imani na uzoefu wako wa kutunga MISEMO ya KIGESHI, hivyo nakuagiza uende UKALITAZAME HILI kwa makini kisha unirudishie Ripoti. WEWE NI MWANANGU NA MIMI NI MAMA YAKO.

UKINIKUNA NITAKUKUNA.

Cc: Lamomy cocastic Poor Brain Yohimbe bark The Icebreaker Mzee wa kupambania dronedrake Extrovert min -me DR Mambo Jambo Rabbon mshamba_hachekwi mshamba_mwingine
 
"Jana kulikuwa kuna viji-clip vinarushwa kulikuwa kuna Simba machachari pale mkorofi kidogo, nikauliza huyu Simba mmempa jina nikaambiwa bado, nikawaambia muiteni mwanangu Tundu Lissu mpeni jina la huyu Simba, kwa sababu alikuwa hatulii kama alivyo mwanangu Tundu Lissu," - Rais Samia
View attachment 3078855
#EastAfricaTV

Soma: Kuelekea 2025 - Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Kwani Samia ana umri gani? Lissu naye je?

Huu u mama na mwana hausomeki.

Wamegundua wamemjenga kisiasa.

Hii Sasa ni after thoughts.

Hiiiiiiii Baghosha!
 
"Jana kulikuwa kuna viji-clip vinarushwa kulikuwa kuna Simba machachari pale mkorofi kidogo, nikauliza huyu Simba mmempa jina nikaambiwa bado, nikawaambia muiteni mwanangu Tundu Lissu mpeni jina la huyu Simba, kwa sababu alikuwa hatulii kama alivyo mwanangu Tundu Lissu," - Rais Samia
View attachment 3078855
#EastAfricaTV

Soma: Kuelekea 2025 - Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu
Ila huyu bibi ana wakati mgumu mno kisaikolojia. Nahisi anaogopa mpaka kivuli chake yeye mwenyewe.

Ila asing'ake yeye na wafuasi wake Lissu nae akijibu kwa dhihaka kumfananisha na kitu kingine.
Absolutely.
Asije akakasirika hapo baadaye endapo kama Tundu Lissu ataamua kujibu mapigo.
Kipimo alichompimia Tundu Lissu ndicho hicho hicho atakachopimiwa.

Atambue kwamba "Action and reactions are equal but opposite in direction."
 
"Jana kulikuwa kuna viji-clip vinarushwa kulikuwa kuna Simba machachari pale mkorofi kidogo, nikauliza huyu Simba mmempa jina nikaambiwa bado, nikawaambia muiteni mwanangu Tundu Lissu mpeni jina la huyu Simba, kwa sababu alikuwa hatulii kama alivyo mwanangu Tundu Lissu," - Rais Samia
View attachment 3078855
#EastAfricaTV

Soma: Kuelekea 2025 - Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu
Samia anaweza kumzaa Lissu? Hapo awali alimwita mdogo wake now anamwita mwanae!! Huyu Samia kachanganyikiwa sana!
Halafu neno ukishatamka halirudishiki mdomoni....imeshatoka hyooo Lissu ni Simba!
 
Back
Top Bottom