Pre GE2025 Rais Samia afafanua sababu ya kupendekeza 'Simba mwenye machachari' kuitwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Samia anaweza kumzaa Lissu? Hapo awali alimwita mdogo wake now anamwita mwanae!! Huyu Samia kachanganyikiwa sana!
Halafu neno ukishatamka halirudishiki mdomoni....imeshatoka hyooo Lissu ni Simba!
Kuvurugwa Mkuu, sasa kama Mwalimu wa Lissu anamuita Samia Mama kwanini Samia asimuite Lissu Mwanae? 🤣🤣🤣
 
The heavens have already bold-printed that Tundu Lissu is the Lion of Kizimkazi.

The heavens will dethrone Samia in 2025 .

The heavens will enthrone Tundu Lissu as the president of Tanzania in 2025 .
 
"Jana kulikuwa kuna viji-clip vinarushwa kulikuwa kuna Simba machachari pale mkorofi kidogo, nikauliza huyu Simba mmempa jina nikaambiwa bado, nikawaambia muiteni mwanangu Tundu Lissu mpeni jina la huyu Simba, kwa sababu alikuwa hatulii kama alivyo mwanangu Tundu Lissu," - Rais Samia
View attachment 3078855
#EastAfricaTV

Soma: Kuelekea 2025 - Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu
Ni kweli kabisa. Alituma mwanaye anayeitwa Abdul ampelekee Lissu rushwa ili atulie lakini akaikataa na kumfukuza.
 
"Jana kulikuwa kuna viji-clip vinarushwa kulikuwa kuna Simba machachari pale mkorofi kidogo, nikauliza huyu Simba mmempa jina nikaambiwa bado, nikawaambia muiteni mwanangu Tundu Lissu mpeni jina la huyu Simba, kwa sababu alikuwa hatulii kama alivyo mwanangu Tundu Lissu," - Rais Samia
View attachment 3078855
#EastAfricaTV

Soma: Kuelekea 2025 - Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu
Atatuliaje wakati mapande ya nchi yetu ya Tanganyika wanapewa waarabu?
 
Ni kwel tundu lisu akiwa ikulu uko na samia kanakula Bata kanatulia..ila sasa kakiona kapo mbele za watu hayo machachari yake sio ya Dunia hiii ni kabishi sana na kanavyojua Sheria sasa😅😅😅
 
The heavens have already bold-printed that Tundu Lissu is the Lion of Kizimkazi.

The heavens will dethrone Samia in 2025 .

The heavens will enthrone Tundu Lissu as the president of Tanzania in 2025 .
Who has been officially tamed spiritually by being equated to a caged lion.

Ndumba za kipemba zishafanya kazi pale.
 
The heavens have already bold-printed that Tundu Lissu is the Lion of Kizimkazi.

The heavens will dethrone Samia in 2025 .

The heavens will enthrone Tundu Lissu as the president of Tanzania in 2025 .
Ktk ulimwengu wa roho Samia amesha mu ascend lissu to the throne!! Iliisha jana hiyoo....now anatapatapa!
 
Back
Top Bottom