Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Kwani anayekuwa Rais ndio anapata na uwezo mkubwa wa akili na hekima kuliko wengine?
 
Unategemea jipya gani?
 
Hivi nchi hii hakuna watu wazuri kiutendaji zaidi ya hao, huyo Kairuki ana nini cha ziada?
 
Tofautisha RAIS na URAIS....umenielewa hapo mkuu?
 
Hivi Alaska imepotelea wapi? Maana bidhaa zake hazionekani wakati huu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Huyo x wa Mwendazake ataweza kweli huko Tamisemi?

Na mashaka kutolewa kwa Bashungwa ni kutokana na kuwatimua wabadhirifu huko Tamisemi ila anajua aliyewateua.
 
Akijaga huku dar ndio anapewa majina na wahuni awateuwe na awateme nani...uuwiii 2025 ifike mapema. πŸƒπŸΌβ€β™‚οΈπŸƒπŸΌβ€β™‚οΈ
Hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…