peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Siku akimla January na mwigulu kichwa nitafanya sherehe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada ni carreer diplomat wa muda mrefu.Mula Mula amewekwa bench?
Sio kwamba yeye ndio aliamua kutoka?Mula Mula amewekwa bench?
Isijekuwa anavuja yeye!Mama kaona panapovuja
Kwani anayekuwa Rais ndio anapata na uwezo mkubwa wa akili na hekima kuliko wengine?Rais wangu Samia anatakiwa afanye kweli. Baraza Lake kwa sehemu kubwa haliko sawa. Anatakiwa kulibadilisha lote na sio kufanya hizi minor reshuffles! Hazitamsaidia lolote
Kuna watu ni mawaziri na manaibu waziri kwenye wizard ambazo hawana uwezo nazo kabisa sijui nini kinamfanya Rais wangu achelewe kufanya maamuzi.
Kwani Mula Mula ndio alimlazimisha apande basi kule Wingereza?
Watanzania km wewe mkiitwa goigoi wa kufikiri utakataa?Huko TWEETER "Kigogo" kamwaga Habari kwamba Waziri kanunua Nyumba Marekani yenye Dhamani ya Dola 1.7M na kufanya Sherehe Siku 4 Mfululizo. Labda hili nalo limechangia Kumwagwa.
Pongezi kwa wote walio endelea kubaki.
Jambo la msingi wafanye kazi kwa bidii na kwa maarifa.
Wasijisahau kuwa Mama hufoka kwa KALAMU.........
Chapeni kazi, tatueni kero za wananchi kwani utendaji kazi kwa nia ya dhati bila unafiki ndio utakao wabeba, unafiki na uzandiki hauwezi kuwasaidia.
Hakuna kitu kama hicho Raisi akiamua anaweza kumtengea waziri yoyote muda wowote alijisikia bila kushauriana na mtu yoyote katiba imempa nguvu Raisi, ata leo anaweza kumteua Makonda kuwa mbunge na kumpa uwaziri au anaweza kunichagua mimi kuwa mkuu wa mkoa na hakuna atakaye hoji.
Hivi Alaska imepotelea wapi? Maana bidhaa zake hazionekani wakati huuUpo sahihi mkuu. Yaani Jiwe alikuwa rafiki sana na Baba yake bashungwa. Hivyo baba yake alilipenyeza jina lake kwa jiwe enzi hizo yaani kiufupi ni connection kati ya Baba inno na jiwe ndio ilimbeba Na huyo inno akatoka usa, kisha akazugazuga hapo wizarani kuna kazi fulani alikuwa nayo hapo na kampuni fulani hivi , huku mke wake alikuwa maarufu kama Mama alaska, halafu kupitia connection ya baba yake jamaa akawa mbunge wa karagwe, kisha waziri. Ndio mpaka leo hii.
Achana na Connection. Ni kitu kingine kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nshomile hatakuja kuwa Rais au, WMkuu, au Spika, au Vpresident au JMkuu au CS[emoji23]
Ni connection ya wakubwa inambeba. Utashangaa bashungwa ni Rais kimasiharasihara [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe? Rejea kiapo cha Wabunge maarufu wa Covid 19.Kiapo ni bungeni Dodoma tu na ni ndani ya bunge
Anazo?Na Mama?
Huyo x wa Mwendazake ataweza kweli huko Tamisemi?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Hili ndio kosa lake,Mula mula kakosana na mama wapi tena
HatariAkijaga huku dar ndio anapewa majina na wahuni awateuwe na awateme nani...uuwiii 2025 ifike mapema. 🏃🏼♂️🏃🏼♂️
Haiwezekani hiiSiku akimla January na mwigulu kichwa nitafanya sherehe.