UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Mama kaona panapovuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kaz zote zile
Bashungwa waziri wa ulinz mhh kumekucha
Wasiwasi ni wako ila kila kitu kinawezekanaHivi mbunge akiteuliwa si anatakiwa kula kwanza kiapo cha ubunge?
Anaenda kusoma magazeti kule maana wizara itaongozwa na cdfNa kaz zote zile
Bashungwa waziri wa ulinz mhh kumekucha
Bahati nzuri siku hizi hata kwenye mitihani ya darasa la pili hauwezi kuta swali waziri wa elimu anaitwa nani..?
Maana wanajua fika siku ya kuandaa mitihani na majibu plus siku ya kufanya mtihani unakuta waziri wawili wametolewa na amekuja mwingine hata hafamiki alikuwa au katokea wapi!!.
Bashungwa !!
Wizara ya Ulinzi, ikashikwaje na Mwanamke ??? Daaahhh
hapa kwa Bashungwa mama kachemka! wizara haitaki mihemkoNa kaz zote zile
Bashungwa waziri wa ulinz mhh kumekucha
Mama Mula Mula mwanadiplomasia nguli kapumzishwa
Huo unguli umeuona wapi?Mama Mula Mula mwanadiplomasia nguli kapumzishwa
Bashungwa ni mwanamke?
Bashungwa anaoneka sio mtu wa mihemko. Kule TAMISEMI kulikuwa hakumfaihapa kwa Bashungwa mama kachemka! wizara haitaki mihemko
Upewe wewe ndio unaweza?Nawaza kwamba ni kweli Kairuki ataiweza wizara ya TAMISEMI??
Nchi hii naona inauhaba sana wa watu wanazunguka walewale wanatenguana na kuteuana tena walewale ni kazunguko tu
Inaonekana bashungwa sio wa kisport sport...inaonekana system inamuelewa sana