Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Bahati nzuri siku hizi hata kwenye mitihani ya darasa la pili hauwezi kuta swali waziri wa elimu anaitwa nani..?

Maana wanajua fika siku ya kuandaa mitihani na majibu plus siku ya kufanya mtihani unakuta waziri wawili wametolewa na amekuja mwingine hata hafamiki alikuwa au katokea wapi!!.

Nimekumbuka kuna watoto wadogo kipindi cha nyuma baadhi walikuwa wanatrend kwa kutaja mawaziri
 
Back
Top Bottom