Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Ukiwa unasoma baadhi ya maandiko yangu!! usipokua Makini, hutonielewa
Sorry mkuu nimeshakusoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa unasoma baadhi ya maandiko yangu!! usipokua Makini, hutonielewa
Hiyo wizara angeweka mwanaume tu sema anaogopa bure tu.Mula mula kakosana na mama wapi tena
Kuna Mambo ,System inafanya kazi chini ya Mwendazake.
Rais wangu Samia anatakiwa afanye kweli. Baraza Lake kwa sehemu kubwa haliko sawa. Anatakiwa kulibadilisha lote na sio kufanya hizi minor reshuffles! Hazitamsaidia loloteRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Sio wasiwasi mkuu.Wasiwasi ni wako ila kila kitu kinawezekana
Sio balaza ni baraza wewe kilaza. Alafu unasema baraza halipo sawa wewe Kama nan?Rais wangu Samia anatakiwa afanye kweli. Balaza Lake kwa sehemu kubwa haliko sawa. Anatakiwa kulibadilisha lote na sio kufanya hizi minor reshuffles! Hazitamsaidia lolote
Kuna watu ni mawaziri na manaibu waziri kwenye wizard ambazo hawana uwezo nazo kabisa sijui nini kinamfanya Rais wangu achelewe kufanya maamuzi.
Akijaga huku dar ndio anapewa majina na wahuni awateuwe na awateme nani...uuwiii 2025 ifike mapema. 🏃🏼♂️🏃🏼♂️Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Ni sahihi kabisa. Lazima kwanza ale kiapo cha kuwa Mbunge.Hivi mbunge akiteuliwa si anatakiwa kula kwanza kiapo cha ubunge?
Halafu, hadi sasa idadi ya wabunge wa kuteuliwa imefikia ngapi? Ukijumlisha wale wa JPM + 19 (Halima mdee et al)
Je, Mulamula anaendelea kuwa mbunge na kupokea posho za ubunge au anarudi kwenye nafasi yake ya hapo awali kabla ya uteuzi?
Inamaana Wabunge wote ndani ya CCM hakuna mwenye Uwezo wa kushika Wizara mpaka Raisi kaamua kuongeza mtu kutoka nje.Nawaza kwamba ni kweli Kairuki ataiweza wizara ya TAMISEMI??
Nchi hii naona inauhaba sana wa watu wanazunguka walewale wanatenguana na kuteuana tena walewale ni kazunguko tu
Inaweza kuwa ile siku Mama kapakiwa kwenye daladala Uingereza kimemuudhi!😁Mula mula kakosana na mama wapi tena
Dah, Mapenzi bwana!Hapo ndio ujue Magufuli alikuwa Mwamba haswa. Hakuwahi kumkubali huyu Mama Mulamula.
Kati ya Dkt Stergomena na Mula nani ni mpole?Rais wangu Samia anatakiwa afanye kweli. Baraza Lake kwa sehemu kubwa haliko sawa. Anatakiwa kulibadilisha lote na sio kufanya hizi minor reshuffles! Hazitamsaidia lolote
Kuna watu ni mawaziri na manaibu waziri kwenye wizard ambazo hawana uwezo nazo kabisa sijui nini kinamfanya Rais wangu achelewe kufanya maamuzi.
UmriMula mula kakosana na mama wapi tena
Dkt Stergomena ni 62 na Mula 66. Hiyo haiwezi kuwa sababuUmri