Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda brother Bashungwa ana kifua kikubwa cha kutunza siri. Who knows? Wizara inayohitaji mtu wa kufanya PR nzuri pamoja na cover-ups ni Wizara ya mambo ya ndani kwa maana Polisi kila siku anagusana na raia tofauti na mwanajeshi.Yaani bashungwa Domo Zito ndio WU?
Atamrudisha jaffo kwa kuchelewa mno. Unajua Jaffo na JK walikuwa hawakai pamoja.Kwa Mulamula nadhani alizidi kupoa sana na Siasa inataka mashamsham haswa ya awamu hizi tokea JPM.
Naona kama Mama Tax ulinzi palimfaa zaidi lakini Bashungwa atakuwa ana nyota kali sana au kapiga maji yale ya ziwa victoria sio kwa kuaminiwa huko.
Ila Tamisemi mi naona Kairuki japokuwa aliwahi kufanya kazi huko enzinza nyuma lakini viatu hamvimtoshi. Plae palimfaa sana mtu kama Jafo, Polepole.
Wapuuzi huwa hawaelewi hapa mkuuAtamuondoa je wakati tozo ni matakwa yake?
Kosa lake nini?Mganga wa Dk. Mwigulu Nchemba si wa mchezo mchezo kwani Kaupiga mwingi kwa Ndumba na Mama Kamsahau kabisa Kumtumbua.
Mnafiki.Kosa lake nini?
Ni kweliNchi hii naona inauhaba sana wa watu wanazunguka walewale wanatenguana na kuteuana tena walewale ni kazunguko tu
Why? Amefika umri wa kustaafu ama amemparura mama?Mula Mula amewekwa bench?
Sahihi kabisa. Wewe unajua ukweli, alivyofika hadi huko maziwa makuu na baadaye UN ni shetani tuu ndo anajua.Hana unguli wowote
Pengine amemze genya mam wetuMula mula kakosana na mama wapi tena
Kosa la mvaa tai ni lipi?Huyu mvaa tai ya bendera kamuachaje licha ya kelele za watozwa tozo? Basi sawa, acha Ile kauli ya Hichilema wa kule Zambia ijisimike vyema!
Kwani kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?Mganga wa Dk. Mwigulu Nchemba si wa mchezo mchezo kwani Kaupiga mwingi kwa Ndumba na Mama Kamsahau kabisa Kumtumbua.