LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,436
- 3,723
Anawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano
Au kaanza kuungua neurodegenaration kwenye ubongo?So anasahau sahau .Ana miaka 77 sawa na Raila
Oohh!! Now I Know!Hili ndio kosa lake,
"Never outshine the boss"
hawa akina linaniliu huwa wana matatizo yao ndo maana mwalimu hakutaka kuwa nao karibu.Mula Mula amewekwa bench?
nchi hii tabu tupu. Ukipoata nafasi IBA kwa kwenda mbele maana hujui kama kesho utakuwepo johnthebaptistRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo:
Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Aidha, Mhe. Tax anachukua nafasi ya Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Awali Mhe. Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia amemteua kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Mawaziri wote hao walioteuliwa wataapishwa tarehe 03 Oktoba, 2022 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dares Salaam.
View attachment 2375256
Ina kitu gani cha zaidi? CDF ndiye anaamua kila kitu, Waziri ni ceremonial, I can say!Bado bashungwa hatoshi kwenye hiyo wizara, hiyo wizara Inahitaji mtu kazi ambaye yupo seriously bashungwa namuona laini laini sn
IQ zao ziko juu sana, Nyerere aliogopa chalengeshawa akina linaniliu huwa wana matatizo yao ndo maana mwalimu hakutaka kuwa nao karibu.
Rais yuko juu ya katiba na sheria zake. Hivyo anaweza fanya loloteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHivi mbunge akiteuliwa si anatakiwa kula kwanza kiapo cha ubunge?
Halafu, hadi sasa idadi ya wabunge wa kuteuliwa imefikia ngapi? Ukijumlisha wale wa JPM + 19 (Halima mdee et al)
Je, Mulamula anaendelea kuwa mbunge na kupokea posho za ubunge au anarudi kwenye nafasi yake ya hapo awali kabla ya uteuzi?
Kama akina nani?Rais wangu Samia anatakiwa afanye kweli. Baraza Lake kwa sehemu kubwa haliko sawa. Anatakiwa kulibadilisha lote na sio kufanya hizi minor reshuffles! Hazitamsaidia lolote
Kuna watu ni mawaziri na manaibu waziri kwenye wizard ambazo hawana uwezo nazo kabisa sijui nini kinamfanya Rais wangu achelewe kufanya maamuzi.
Tax alikuwa anauza magari jJapan by the time anasoma PhD or Masters??. Niliwahi agiza gari toka kwakeHuyo Tax si angepelekwa kitengo cha tozo, tukubali yaishe....
Kama miradi ipi hiyo?Hivi yule mzee aliyekua katibu mkuu TAMISEMI enzi za JPM, nafikiri jina lake ni Joseph Nyamhanga, akasimamia miradi kibao ambayo ndiyo inayozinduliwa sasa, mbona kama wamempotezea,
Kweli tenda wema nenda zako
Kwamba kelele za Chadomo ndio base ya Rais kufanyia maamuzi? Acha uzwazwa..Huyu mvaa tai ya bendera kamuachaje licha ya kelele za watozwa tozo? Basi sawa, acha Ile kauli ya Hichilema wa kule Zambia ijisimike vyema!
Mama anamuamini Mwigulu hata tone ya anapomzungumzia au Mwigulu anapomzungumzia Rais unaweza Iona..Mganga wa Dk. Mwigulu Nchemba si wa mchezo mchezo kwani Kaupiga mwingi kwa Ndumba na Mama Kamsahau kabisa Kumtumbua.
Ulitaka uwe wewe?Mama anahangaika masikini. Vetting anaifanya kwa mihemko sasa Bashungwa anakuwaje MU.
Jafo hawezi kurudi tena Tamisemi..Arudi ili hati chafu zirudi au? By the way Bashungwa amefanya Kazi nzuri Tamisemi kuanzia mapato kuongezeka hadi kutimua majizi.Atamrudisha jaffo kwa kuchelewa mno. Unajua Jaffo na JK walikuwa hawakai pamoja.
Ila mama hana namna, hakuna atakayeiweza tamisemi zaidi ya jaffo ambaye alijitahidi kui shepu angalau. Hapo mama ndio amejisafisha kwa oil chafu kumuweka kairuki.
Bashungwa atakuja kuwa PM