Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Angekua Magu yupo wangesema anamfukunyua ila niseme tu hafai hata kua kibarua.
 
Huyu mama ni kama ana ngekewa tu. Alizaliwa kwa uwaziri ila hakuna maajabu
 
Kwamba kelele za Chadomo ndio base ya Rais kufanyia maamuzi? Acha uzwazwa..

Ni hivi Mwigulu toka enzi za JK huyo,Simbachawene,Jenista hao ni senior ministers hawatoki Leo wala kesho na Sasa Bashungwa anaingia kwenye hiyo Orodha.
Na wewe mburukenge tumia ubongo kujenga hoja! Hao senior ministers wako wamepitwa na wakati kwani akili zao zinawaza kianolojia na ndio hao wanaoichelewesha nchi kuwa na katiba mpya na Bora na hata maendeleo ya haraka! Ccm bado mnajifunza na kufanya siasa za china na urusi ambazo zinawafunza wanasiasa kuona siasa ni ajira ambazo hazina kustaafu! Huo ni ushamba na kawaambie wenzako waache ushamba na wajifunze Kwa nchi majirani ambazo zimefanya siasa safi na zinazonga mbele kimaendeleo! Ndio maana mna waziri Mkuchika mzee asiye na faida na bado mnang'ang'ania! Uchawa wanu Nini uvccm unawanufaisha wazee TU?
 
Wewe ndio kipimio cha kupitwa na wakati?
 
Kwani hamjamsikia mkuu wa nchi, mulamula alivuka minyau ndio maana amekutana na mi wuuu!! wuu!! wuuu!! Tuishi humo

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom