Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Angekua Magu yupo wangesema anamfukunyua ila niseme tu hafai hata kua kibarua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilifikiri utasema ni mtendaji mzuri kumbe anajua kuonge tu?Ni mchapakazi Sana. Ni MTU safi anajua kuongea and she is wonderful
chawaNi mchapakazi Sana. Ni MTU safi anajua kuongea and she is wonderful
Sasa kama unasema wezi mbona unashindwa kuthibitisha wizi wao?Hawafai,,subiria ukiwa Rais utawateua wakusaidie.
Wezi hao hamna kitu kichwaniSasa kama unasema wezi mbona unashindwa kuthibitisha wizi wao?
Tanzania iko viwango sawa na China na India?Mbona India na China wana nunua mafuta ghafi bei Rahisi?
😆😁Mula Mula amewekwa bench?
Na wewe mburukenge tumia ubongo kujenga hoja! Hao senior ministers wako wamepitwa na wakati kwani akili zao zinawaza kianolojia na ndio hao wanaoichelewesha nchi kuwa na katiba mpya na Bora na hata maendeleo ya haraka! Ccm bado mnajifunza na kufanya siasa za china na urusi ambazo zinawafunza wanasiasa kuona siasa ni ajira ambazo hazina kustaafu! Huo ni ushamba na kawaambie wenzako waache ushamba na wajifunze Kwa nchi majirani ambazo zimefanya siasa safi na zinazonga mbele kimaendeleo! Ndio maana mna waziri Mkuchika mzee asiye na faida na bado mnang'ang'ania! Uchawa wanu Nini uvccm unawanufaisha wazee TU?Kwamba kelele za Chadomo ndio base ya Rais kufanyia maamuzi? Acha uzwazwa..
Ni hivi Mwigulu toka enzi za JK huyo,Simbachawene,Jenista hao ni senior ministers hawatoki Leo wala kesho na Sasa Bashungwa anaingia kwenye hiyo Orodha.
Ndiyo.Tanzania iko viwango sawa na China na India?
Sahihi,, anaweza akawa na kitu cha ziada tofaut na tumjuavyoInaonekana bashungwa sio wa kisport sport...inaonekana system inamuelewa sana
Polehapa kwa Bashungwa mama kachemka! wizara haitaki mihemko
🚮🚮Ndiyo.
Uliza lingine
Wewe ndio kipimio cha kupitwa na wakati?Na wewe mburukenge tumia ubongo kujenga hoja! Hao senior ministers wako wamepitwa na wakati kwani akili zao zinawaza kianolojia na ndio hao wanaoichelewesha nchi kuwa na katiba mpya na Bora na hata maendeleo ya haraka! Ccm bado mnajifunza na kufanya siasa za china na urusi ambazo zinawafunza wanasiasa kuona siasa ni ajira ambazo hazina kustaafu! Huo ni ushamba na kawaambie wenzako waache ushamba na wajifunze Kwa nchi majirani ambazo zimefanya siasa safi na zinazonga mbele kimaendeleo! Ndio maana mna waziri Mkuchika mzee asiye na faida na bado mnang'ang'ania! Uchawa wanu Nini uvccm unawanufaisha wazee TU?
Ingekua wewe ungekubali?Jafo angefaa tatizo rais akiona unamzidi umaarufu anakutoa fasta.
She was the best waziri Yuko vzr na watammuis haswaaaBashungwa !!
Wizara ya Ulinzi, ikashikwaje na Mwanamke ??? Daaahhh
Innocent Bashungwa. MwanaumeBashungwa ni mwanamke?