goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Ni upumbafu eti alfu Kuna mitaznia hapa wanasema Haina eti Hakuna shida yoyote anasema fresh tu siyo saawaa hiyo kuna upeendeleo mkubwa Sana ktk serekali hi watu Ni wale wale miaka nenda rudiMkuu mimi niliandika uzi humu hizi ishu za watu kuwa na vyeo kibao, mume balozi mke waziri, aisee huu ni ufala..watu kibao mtaani hawana kazi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app