Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

Mkuu mimi niliandika uzi humu hizi ishu za watu kuwa na vyeo kibao, mume balozi mke waziri, aisee huu ni ufala..watu kibao mtaani hawana kazi
Ni upumbafu eti alfu Kuna mitaznia hapa wanasema Haina eti Hakuna shida yoyote anasema fresh tu siyo saawaa hiyo kuna upeendeleo mkubwa Sana ktk serekali hi watu Ni wale wale miaka nenda rudi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Katiba mpya tunayoitaka tunataka mawaziri siyo lazima watokane na wabunge bali sifa na uwezo wa mtu ndiyo uzingatiwe. Labda kama ungesema kuwa huyu cheupe hana uwezo wa kuendesha hiyo wizara aliyopewa ningekuelewa.

Kwa wabunge hawa wanaopitisha kila sheria inayoletwa mbele yao kwa kugonga meza kishabiki bila kujali maslahi ya umma sidhani kama kuna watu makini wenye uwezo mle wa kuwa mawaziri wanaozidi hata 10.

Mama ateue hata nje ya Bunge lakini wawe ni watu wenye uwezo na siyo kwa ajili ya kulindana, nepotism na connections.
 
Sawa bhna Simba ya buyenze ila inatupaza kupiga kelele San juu ya utawala huu wa kujuana na kutoa nafsi za juu za kaz serkalini bila ujuzi na uwezo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sawa bhna Simba ya buyenze ila inatupaza kupiga kelele San juu ya utawala huu wa kujuana na kutoa nafsi za juu za kaz serkalini bila ujuzi na uwezo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kujuana hakujaanza leo mkuu. Ni tatizo la jamii nzima. Bila kumjua mtu hata hospitalini unaweza ukafa wanaokuja nyuma yako wanatibiwa we unarukwa. Nepotism na rushwa zinatutafuna sana halafu eti tunalalamika kwa nini hakuna ufanisi katika taasisi zetu. Tutakuwaje na ufanisi wakati watu wanaowekwa pale wamewekwa kwa sababu ya kujuana tu na wengine hata hawajui wanachotakiwa kufanya?

Hopulesi kabisa!
 
Back
Top Bottom