Haya sasa, zamu yenu Watanzania kupokea wakimbizi wa Kipalestina.
Upo uwezekano mkubwa sana kuwa ujumbe huo wa Umoja wa Mataifa, umekuja kuomba ardhi au sehemu ya kuwahifadhi Wakimbizi wa watu wa Palestina. Wahanga wa vita. Muda utaongea
....
Binafsi, naona kuna kiashiria kuwa, tumechaguliwa na Umoja wa Mataifa, au tunaombwa tuwapokee wakimbizi wa kutoka mashariki ya kati yaani Wapalestinila. Je, tunayo jinsi na rasilimali?
Huko Ulaya na Marekani, kushaanza kampeni ya kuwakataa wakimbizi hawa wanaodaiwa kuwa ni wafia dini, ati ni wapiga vigelegele na wanao sali "Alahu Wakbar"
Je sisi Watanzania tupo tayari kuwakaribisha wahanga wa Vita kati ya Israel na Palestine?