Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Saaafi sana Rais Samia, kazi iendeleeRais Samia amemteua Prof. Eleuther Anthony Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE). Uteuzi umeanza Juni 7
Pia amemteua Dkt. Neema Bhoke Mwita kuwa mjumbe wa Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal). Uteuzi unaanza Juni 8, 2021
Dkt. Mwita amechukua nafasi ya Dkt. Theodora Nemboyao Mwenegoha ambaye ameteuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu ya Tanzania
View attachment 1812588
[emoji2][emoji2]Haka kamama
Sanasana toka kashike kijiti cha mwendazake
Kanafanya Ziara na Kufanya Teuzi.
bado anaunda serikal yake.Haka kamama
Sanasana toka kashike kijiti cha mwendazake
Kanafanya Ziara na Kufanya Teuzi.
Uwe na heshima basi,hiyo ni sawa na mama yakoHaka kamama
Sanasana toka kashike kijiti cha mwendazake
Kanafanya Ziara na Kufanya Teuzi.
Kabisa mkuu halafu anaowateua wala hawatokei zanzibarbado anaunda serikal yake.
na hii sio process ya siku moja.
mwendazake mwenyewe mpaka dakika za mwisho alikuwa mtu wa kutumbua na kuteua
Kwanini? Una interest binafsi?Nimefurahishwa na Uteuzi wa Bhoke Mwita
Iwe iwavyo... yeye ndiye rais na hapangiwi... au kwanini wewe usiwe rais badala yake? Je kukosa kwako fursa ndio iwe kero kwa majirani? Aaaah kumbe na nyie mpo!!Haka kamama
Sanasana toka kashike kijiti cha mwendazake
Kanafanya Ziara na Kufanya Teuzi.