Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Wakati Dr Slaa anavunjwa mikono , rais alikuwa mkristo ?
 
Yote haya hayaondoi ukweli kuwa magufuli aliweka mbele ukabila ,udini na ukanda kuanzia kwenye nafasi za uongozi mpaka mgawanyo wa rasilimali za nchi.
 
Duuu tumwfikia huku Tanesco imekuwa kama Nssf miaka 2015 kurudi nyuma na misikiti itakuwemo humo ndani...ingawa nasikia Maharagwe sio mnazi kivile mambo ya dini.....tusubiri tuone
Acha hofu hata sisi hatukuwa na hofu kwamba makanisa yatajengwa huko kwenye mashirika ya serikali wakati wa awamu iliyopita.
 
Acha kujitoa ufahamu mkuu. Natoa mifano nchi hii zanzibar rais utampata wapi mkristo kwenye idadi ya wazanzibari asilimia 99%? Niambie ni lini Tanzania iliwahi kuwa na makamu wa rais ambaye ni dini moja na rais aliyepo madarakani? Hapa tunazungumzia nafasi za uteuzi zile ambazo anazo rais siyo kama ulizotaja hapo juu za kitaifa.
 
Acha hofu hata sisi hatukuwa na hofu kwamba makanisa yatajengwa huko kwenye mashirika ya serikali wakati wa awamu iliyopita.
Haya Sasa gombaneni wenye maslahi yenu.

Me nipo kimya najuwa hata niwe dini Ile kabila hili hakuna ataenikumbuka! Ngojea nikazane shambani kwangu tu
 
Kikwete na Shein
Kikwete na Bilal.!
 
Haya Sasa gombaneni wenye maslahi yenu.

Me nipo kimya najuwa hata niwe dini Ile kabila hili hakuna ataenikumbuka! Ngojea nikazane shambani kwangu tu
Hakuna mwenye maslahi mkuu ila kwenye ukweli tuseme mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Kumbe wewe futuhiii[emoji33][emoji33][emoji33]ni wakati gani dr shein alikuwa makamo wa rais,bilal, wakati wa mwinyi pia
 
Subira huvuta kheri. Hatimaye Mungu amemsemea Mhandisi Mramba. Hapa ndipo unapoamini System inafanya kazi yake. Mramba in Mwadilifu LAKINI aliondolewa kwa sababu.......
Huyu mchaga atajaza familia yake huko , kama mwenda zake alivyojaza kabila lake
 
TANESCO, shirika pekee la umma lililobaki unaloweza kupiga pesa nyingi kwa mkupuo
Ila ndiyo itakuwa indicator nzuri ya kuona ufanisi maana nalo bila ufanisi ndiyo tutarudi kwenye madeni ya kudumu...Nawaombea kila la heri wasiturudishe tu kule kwenye escrow!
 
Mhhhh kwenu wapi hujui viongozi wako[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…