Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Wakati huu ambao tuna sera ya diplomasia ya uchumi ilitakiwa kupeleka ubalozini watu wenye uwezo wa kuwezesha nchi kunifaika zaidi kichumi.
 
Nilikuwa naiona ile orodha ya Madaktari 6 kwenye luninga wanaopendekezwa kugombea nafasi iliyoachwa Wazi kufuatia Kifo Cha Dr Ndugulile pale WHO Africa

Ni kama Janabi ameshawaacha wenzake nyuma

Baadae Mlale unono πŸ˜€
Labda shirika la chakula duniani FAO.
 
Kwa sasa hakuna tena mtanzania wa kuweza kutoboa huko WHO, ule mchongo na connection aliyoipata Dr. Ndugulile ilikuwa ya mara moja tu, huwa haijirudii.
 
WHO huwa hawapendi wala kutaka machawa. Janabi hakuna kitu pale, ni uchawa na blah blah tu.
 
Kwa sasa hakuna tena mtanzania wa kuweza kutoboa huko WHO, ule mchongo na connection aliyoipata Dr. Ndugulile ilikuwa ya mara moja tu, huwa haijirudii.

Mara nyingi ile nafasi inahusisha taaluma na siasa.
 
Kwa uoni wangu, target ni home affairs, hapo kwa masauni, mengine refreshings!
HONGERA RAIS WETU.
KAZI IENDELEE!

Biden anamalizia viporo kabla hajaondoka, anakinukisha kila mahali, asad ameenda fasta bila kutegemea, juzi kati alikuwa angola, kila mahali anamalizia kabla ya jan 20, tutegemee vishindo zaidi barani mwetu, burkinabe tayari ameshafanya mambo (Biden), siku sijazo hazitakuwa rahisi sana …
 
Nilikuwa naiona ile orodha ya Madaktari 6 kwenye luninga wanaopendekezwa kugombea nafasi iliyoachwa Wazi kufuatia Kifo Cha Dr Ndugulile pale WHO Africa

Ni kama Janabi ameshawaacha wenzake nyuma

Baadae Mlale unono πŸ˜€
Mollel ni clinical officer, wala haendani na hicho cheo. Prof. Janabi anaweza, ila kwa nchi naona ni hasara, ana shiriki kikamilifu kwenye upasuaji wa moyo Muhimbili pale hivyo kusaidia directly kuokoa maisha kwa wengi. Kigwangala nae kama Mollel tu, hawana hadhi ya hivyo
 
Mhhhh....yangu macho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…