Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 709
- 919
Wakati huu ambao tuna sera ya diplomasia ya uchumi ilitakiwa kupeleka ubalozini watu wenye uwezo wa kuwezesha nchi kunifaika zaidi kichumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeona mbali sana Bwashee,WHO Africa 😄
Labda shirika la chakula duniani FAO.Nilikuwa naiona ile orodha ya Madaktari 6 kwenye luninga wanaopendekezwa kugombea nafasi iliyoachwa Wazi kufuatia Kifo Cha Dr Ndugulile pale WHO Africa
Ni kama Janabi ameshawaacha wenzake nyuma
Baadae Mlale unono 😀
Wizara ya upande wa kaskazini. Sasa niambie waliopo ni nani atafaa kutokea upande huo.?Mollel na Kigwangala? Hizo ni screpa, mpaka leo huwa nashangaa Mollel ana survive vipi Wizara ya Afya
Why,kwa sababu ni MKIRISTO??The person who gonna challenge this chance is Dr. Ulusibisye Mpoki, the current boss of MMH.
Jamaa ni kama wanataka kumzamisha kabisa. Ila namuombea afanye kazi kwa weledi kwenye hiyo wizara na akiona wanamzingua aachie ngazi kwa afya ya future yake kisiasa.Bashungwa namhurumia sana aisee!
Kwa sasa hakuna tena mtanzania wa kuweza kutoboa huko WHO, ule mchongo na connection aliyoipata Dr. Ndugulile ilikuwa ya mara moja tu, huwa haijirudii.
YupoKwa hiyo jafo mwendo kaumaliza
Kwa uoni wangu, target ni home affairs, hapo kwa masauni, mengine refreshings!
HONGERA RAIS WETU.
KAZI IENDELEE!
Bashungwa na mambo ya damu damu wap na wap!Bashungwa namhurumia sana aisee!
Mollel ni clinical officer, wala haendani na hicho cheo. Prof. Janabi anaweza, ila kwa nchi naona ni hasara, ana shiriki kikamilifu kwenye upasuaji wa moyo Muhimbili pale hivyo kusaidia directly kuokoa maisha kwa wengi. Kigwangala nae kama Mollel tu, hawana hadhi ya hivyoNilikuwa naiona ile orodha ya Madaktari 6 kwenye luninga wanaopendekezwa kugombea nafasi iliyoachwa Wazi kufuatia Kifo Cha Dr Ndugulile pale WHO Africa
Ni kama Janabi ameshawaacha wenzake nyuma
Baadae Mlale unono 😀
Wenye nacho wanaongezewa, wasiokuwa nacho wapambane na hali zao. #Kaula
Uwaziri ni cheo cha kisiasa tu...kuhusu kusomea nini sio lazima...Abdalah Hamis Ulega amesomea nini??