Basi tutamtoa tumuweke mumeo wa jumapili,nyie watu mna chukii sana snaJafo yupo viwanda, hawezi kuachwa ni mtu wa ijumaa
Aisee maza ajiandae na diet za mjuba Janabi!Professor Janabi.
Kwa nini Tena, Mkuu?Ningekuwa mm nisingekubali Janaba anikaribie!
Huyu ndo alisema(ga) "tuuze mayai yetu" Toka wakati huo nikaacha kumzingatiaHamis Ulega amesomea nini??
Hatupo serious kama taifa na sijui nani ni mshauri wa RaisHadi kufika 2025, tutakuwa tumesahau nani aliwahi kuwa waziri wa wizara gani na kwa kipindi fani
ahiyo jenista mhagama nae ni mtu wa ijumaa? We jamaa ni🌈🌈 kabisa acha udiniJafo yupo viwanda, hawezi kuachwa ni mtu wa ijumaa
Hapo panafikirisha.Huy mama nae sasa kabudi na sanaa wapi na wapi