Rais Samia afanya Uteuzi na Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna (TANAPA)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ankali Pasco....

Wangapi wana historia ya "viti virefu" kama yule mbunge aliyerudi kwao ukuryani kutokea "Ukonga"?!!

Lakini majina yao huwa "FORWARDED"...

Wangapi wakosoaji wakubwa ndani ya CCM na nje yake......lakini majina yao huwa "FORWARDED"....

Akina Fakii Lulandala...
Akina Mtela Mwampamba...
Akina mh.Patrobass Katambi...
Akina Lijualikali.....

Mh.Bashe aliteuliwa na kupewa "mwana kulea".....

Mjomba yetu M.......N ni RC hukooo....kila uchao alikuwa anashinda pale KISUMA....mmaa mmaa mmma haswaa[emoji1787][emoji1787]

Iwe heri kila siku uamkayo ,aaamin aaaamin [emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
DC anamvuto. Hawezi kupigwa chini kaka
 
Pascal Mayalla yupo kwenye list ya wanaofanya vetting, au unataka ajiteue? Hiyo kazi ya kuwafanyia vetting wengine inamtosha sana...make ina marupurupu na takrima kibao kuliko hizo teuzi zenyewe.
Mkuu acha ramli chonganishi Pascal Mayalla anakuzoom tu! kisha kwa masikitiko analia "masumanda"...!
Sio vyedi...
 
Huyo alishavuka hizo level za uDC,yeye anapambania jimbo,japo wajumbe hawajaridhia
Mkuu ni dizaini kama hujui kofia ya u DC kwenye jimbo/majimbo ya wilaya husika ndani ya CCM.

Kukutoa tongotongo tu, mgombea wa ubunge/jimbo ktk wilaya x bila kuwa na connection ya dc wa wilaya x na watu wengineo wenye nyadhifa za juu ndani ya chama, atasotea sana na kujihisi as if ana gundu. Kumbe ni kukosea step tu...!
Ukiwa chawa mzuri ndani ya ccm ni rahisi sana kuzawadiwa u DC kuliko ubunge. Ili uwe mbunge wa jimbo husika kuna external factors yapaswa uwe nazo make ile sio nafasi ya kuteuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…