Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Unateuaje ukiwa nje ya nchi
Yule maza hamna kitu.
I wish mwakani asigombee tu akae chonjo. Na CCM wakimweka ntaona ni mazuzu, kwamba tumekosa kabisa wanaume wenye akili mpaka tuongozwe na bi mkubwa?
Hivi nani hapa atajisikia furaha kuona katika familia mama ndio kila kitu na mzee yupo yupo tu.
 
Kama kichwa kinavyojieleza TISS kitengo cha propaganda mumeweza cheza na kuamisha mawazo ya watanzania hongera sana kwa huo mkakati, ambao leo wote wanaenda upepo unakovuma, pumzika kwa amani MILTONI LUPA na pia nakutakia majukumu mema dada angu ZUHURA YUNUSI na pia kaka angu MALISA G.,Allah akufanyie wepesi upone haraka na utakuwa huru soon.
 
βœοΈπŸ“πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ›‘οΈ
 
Kama kweli dawati la spinning la hao "tees" ndio wapo nyuma ya haya,basi hao jamaa ni vilaza kupindukia.

Watanzania wa leo hawana madhara.
Watanzania wa leo tunapenda kuongea sana tena mitandaoni bila ya kuchukua hatua yoyote kivitendo,hivyo hata litokee jambo baya gani, hakuna jipya tutakaloweza kulifanya kiasi kwamba watawala wakakosa usingizi.

Watanzania tunafiti sana kwenye ule msemo usemao, "kelele za mlango, hazimnyimi usingizi mwenye nyumba".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…