Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Baba ake ni mpare maza ake mzenjiHuyu yunus si mzanzibari??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba ake ni mpare maza ake mzenjiHuyu yunus si mzanzibari??
Weeee! Marehem gani kateuliwa?Network ya kuteua marehemu? Kweli ni kubwa
Aisee! Kwenye ile list kuna marehemu?Mpaka anateua marehemu? yaani hatupo salama asee
Mama yako kateuwa marehemuHongera sana Mh. Rais wetu Mama Samia, mtu kama hafanyi vizuri kokote kule hata Ikulu atolewe au apangiwe kazi nyingine, nimefurahi sana
Kwenye nchi ambako hakuna Katiba ya kuongoza teuzi mamlaka ya uteuzi inaweza kumteua yoyote. Hata marehemuBi Zuhura kakwama wapi Ikulu....
Angalia DED Kilolo ni aibu tupuAisee! Kwenye ile list kuna marehemu?
Vetting anafanya nani?
Hii nchi ya kingese. Hatuna kiongozi.Angalia DED Kilolo ni aibu tupu
Uko sawa mkuu, ushahidi tunaoKwenye nchi ambako hakuna Katiba ya kuongoza teuzi mamlaka ya uteuzi inaweza kumteua yoyote. Hata marehemu
Unateuaje ukiwa nje ya nchiHii nchi ya kingese. Hatuna kiongozi.
Yule maza hamna kitu.Unateuaje ukiwa nje ya nchi
✍️📝👌👍👊👏🤝🙏🛡️Kama kichwa kinavyojieleza TISS kitengo cha propaganda mumeweza cheza na kuamisha mawazo ya watanzania hongera sana kwa huo mkakati, ambao leo wote wanaenda upepo unakovuma, pumzika kwa amani MILTONI LUPA na pia nakutakia majukumu mema dada angu ZUHURA YUNUSI na pia kaka angu MALISA G.,Allah akufanyie wepesi upone haraka na utakuwa huru soon.