Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Mtoa sumu kapewa uDc kuna mtu ajiandae huko.

Zuhura kawekwa pembeni maana kashindwa kufanya "damage control" baada ya taarifa ya VoA kuonyesha daktari wa mikopo safari hii katoa bahari na madini..

Mama anaupiga mwingi!

Cc: Lucas Mbwa wa shamba.
Hapo sasa kwenye cc!
 
Huyu Chongolo ni ndugu na yule aliku KM wa CCM aliyepangiwa u RC kama sikosei u RAS sijui mkoa gani huko

 
Majina ya hIzi tarakimu mbili ni ya kiukoo kama akina Kijazi au ni majina ya matukio kama akina Tibaigana?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…