Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
NdioKwamba hii ni kubwa kuliko ya Ukurugenzi mjengoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioKwamba hii ni kubwa kuliko ya Ukurugenzi mjengoni?
Magoti mutu ya kazi chafu,mzee Mangula hana hamu naye kabisaLicha ya magoti alivyo naskia yuko fit balaa martial arts anarusha ngumi za hatarii huyo. Hadi ana blackbelt.
Lucas alione swali hili kwenye jaladaHapa Jamiiforums tumepata memba wangapi kwenye uteuzi huu?
Wataje kwa majina yao ya hapa jf tuwapongezeKama kumi hivi
Siyo. Ni Mpare wa Kilimanjaro huyuHuyu yunus si mzanzibari??
Zuhura alifaa awe Mke wangu huwa namuwaza sana.Zuhura alifaa TBC, samaki yake maji.
Huku ni kushuka ,utoke ikulu mpaka unaibu katibu mkuu wizarani ata kuonana na mama ni ishu😂😂😂Amepanda au ameshuka cheo?
Naona ratiba yako ya sabuni imefika, ujichukulie sheria mkononiZuhura alifaa awe Mke wangu huwa namuwaza sana.
Wapare njooni huku mthibitishe mpare wa wapi huyo mama yake na baba yake je ni wapare?Yunus ni Mpare wa Kilimanjaro wee Kenge Fanya utafiti kabla ujaandika uharo
Naona ratiba yako ya sabuni imefika, ujichukulie sheria mkononi
Mbona kama naona jina la marehem au majina yanafanana
Yupo wapi sahivi
KibahaYupo wapi sahivi?
Hapo sasa kwenye cc!Mtoa sumu kapewa uDc kuna mtu ajiandae huko.
Zuhura kawekwa pembeni maana kashindwa kufanya "damage control" baada ya taarifa ya VoA kuonyesha daktari wa mikopo safari hii katoa bahari na madini..
Mama anaupiga mwingi!
Cc: Lucas Mbwa wa shamba.
Nilikuwa namtafuta Mwashambwa, aliyemuona jamani tafadhariRais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali.
---
View attachment 3010565
View attachment 3010566
View attachment 3010567
Songwe huko hukoHuyu Chongolo ni ndugu na yule aliku KM wa CCM aliyepangiwa u RC kama sikosei u RAS sijui mkoa gani huko
View attachment 3010584
Walishamuona ni zezeta hawafai anajitumikisha bila kujitambuaNilikuwa namtafuta Mwashambwa, aliyemuona jamani tafadhari