GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani huyo Mtu ameiva kote kote kuanzia Habari, Mawasiliano na Maadili halafu pia hata Kichwani yuko vizuri namkubali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio yule wa 'njaa',yaani "P.M"?Fella
Kwahiyo ukimkubali wewe ndio na Rais atamkubali?Yaani huyo Mtu ameiva kote kote kuanzia Habari, Mawasiliano na Maadili halafu pia hata Kichwani yuko vizuri namkubali.
ChaiYaani huyo Mtu ameiva kote kote kuanzia Habari, Mawasiliano na Maadili halafu pia hata Kichwani yuko vizuri namkubali.
Asije kuwa baba RevoYaani huyo Mtu ameiva kote kote kuanzia Habari, Mawasiliano na Maadili halafu pia hata Kichwani yuko vizuri namkubali.
Network ya kuteua marehemu? Kweli ni kubwaKwahiyo ukimkubali wewe ndio na Rais atamkubali.
Rais ni network kubwa dogo.
Sio kila mshkaji atakukumbuka na kukujua akifika huko... Kipimo cha utu na uhalisia wa mtu ni cheo, madaraka na utajiri.Ili ukale shavu ikulu siku mshikaji wako anaapishwa
Pascal Mayalla is the best candidate!Yaani huyo Mtu ameiva kote kote kuanzia Habari, Mawasiliano na Maadili halafu pia hata Kichwani yuko vizuri namkubali.
Pole kwa yaliyokukuta, hao wanaitwa masela nnyaSio kila mshkaji atakukumbuka na kukujua akifika huko... Kipimo cha utu na uhalisia wa mtu ni cheo, madaraka na utajiri.
Tuna mifano hai ndomana tunakwambia hivi. Usijidanganye!
Ngoja siku nkipata wasaa nkikutana na mzee wngu rweyemam kwenyeKwa nchi ilivyo hiyo kazi wanaweza kumpa hata baba level au mwijaku
Ova