Rais Samia afanya uteuzi wa Mbunge wa Bunge

SSH anafanya mabadiliko baraza la mawazri jumamosi kesho, leo anateua kwanza, keep updated.
 
Apelekwe kuimalisha ulinzi... Pale kwenye mwanya...
 
Kuna uchenjuaji wa baraza waja ama?

Huwa sioni sababu, wala faida ya wabunge wa kuteuliwa kama mtu huyo hapewi uwaziri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…