Kwa hiyo amevunja board ili milango ya uchotaji iwe rahisi na tutegemee uteuzi baada ya uchaguzi.Huko NSSF ndiko wanachotaga hela za kampeni.
Kwa hiyo amevunja board ili milango ya uchotaji iwe rahisi na tutegemee uteuzi baada ya uchaguzi.Huko NSSF ndiko wanachotaga hela za kampeni.
subiri teuzi uende kuzipa nafasi ya pole poleBalozi nchini Cuba atateuliwa lini? 😎
Sipo kwenye hiyo circlesubiri teuzi uende kuzipa nafasi ya pole pole
utaingizwa tu.. kwenye hiyo circleSipo kwenye hiyo circle
Sawautaingizwa tu.. kwenye hiyo circle
. inafiri mama hajui ID yako ?
Bila hizo teuzi au tenguzi kazi isingeendelea?Kazi iendelee
Pongezi kwa lipi,kwani yy ndo kateuliwa hadi umpe pongezi?Machawa bana!Pongezi nyingi kwa mama Samia
Katika hatua nyingine, Rais Dkt. Samia ameivunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa










mbona povu mkuu, si kateua na kutengua, au ulikuwa hujui hilo!Pongezi kwa lipi,kwani yy ndo kateuliwa hadi umpe pongezi?Machawa bana!
Mbona mama anaendesha nchi vizuri tu. Kwenu eti Rais akifokafoka na kurukaruka hapa na pale kama swala ndio Bora.Nchi anaendesha kama kikundi cha vikoba
Hakuna kitu kama hicho. Unadhani hela kuchotwa NI Rahis kihivyo. Amevunja Ili muendelee kuwa Na ufanis.Kwa hiyo amevunja board ili milango ya uchotaji iwe rahisi na tutegemee uteuzi baada ya uchaguzi.
Bodi ya nssf imedumu miez 4 TU madarakani 😭
Balozi nchini Cuba atateuliwa lini? 😎