M manjuki2 JF-Expert Member Joined Jan 22, 2025 Posts 543 Reaction score 400 Aug 3, 2025 #41 Busu la Kenge said: Hakuna kitu kama hicho. Unadhani hela kuchotwa NI Rahis kihivyo. Amevunja Ili muendelee kuwa Na ufanis. Click to expand... Jiulize teuzi na kutengua wakati hunaelekea kwenye uchaguzi haijawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii. Kulikoni?
Busu la Kenge said: Hakuna kitu kama hicho. Unadhani hela kuchotwa NI Rahis kihivyo. Amevunja Ili muendelee kuwa Na ufanis. Click to expand... Jiulize teuzi na kutengua wakati hunaelekea kwenye uchaguzi haijawahi kutokea kwenye historia ya nchi hii. Kulikoni?
S sputnik JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 830 Reaction score 1,169 Aug 4, 2025 #42 Hapo nsssf anataka kwenda kuchota hela za kampeni
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,646 Reaction score 28,747 Aug 13, 2025 #43 Ojuolegbha said: Katika hatua nyingine, Rais Dkt. Samia ameivunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Click to expand... Nini hasa ilipelekea Bodi ya wadhamini ya NSSSF kuvunjwa?
Ojuolegbha said: Katika hatua nyingine, Rais Dkt. Samia ameivunja Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Click to expand... Nini hasa ilipelekea Bodi ya wadhamini ya NSSSF kuvunjwa?
Adolfms JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 981 Reaction score 1,411 Aug 13, 2025 #44 Lucas Mwashambwa said: Kazi iendelee Click to expand... Oko ya pikipiki
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Aug 13, 2025 #45 Hiki ndicho anaweza kufanya hata kila siku. Na sio maamuzi magumu kwa taifa anaishia kusema NA HILI MKALIANGALIE!!. Hakika tumepigwa watanganyika tuamke. Kazi ni kipimo cha utu
Hiki ndicho anaweza kufanya hata kila siku. Na sio maamuzi magumu kwa taifa anaishia kusema NA HILI MKALIANGALIE!!. Hakika tumepigwa watanganyika tuamke. Kazi ni kipimo cha utu