Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Wa ukae, Adam Kigoma Malima kaliwa kichwani!
 
Naona Kafulila na Makongoro wamekumbukwa!
Paul Makonda naye anaweza kukumbukwa kwenye awamu ya saba au ya nane. Aendelee tu kuwa mwadilifu na mvumilivu kwenye chama chake cha ccm kama hao wenzake walivyofanya.
 
Wachagga wana nguvu kubwa ya kiuchumi nchi hii. Wanachotafuta ni nguvu ya kisiasa(mamlaka). Wakipata na jinsi wanavyopendana sana wao kwa wao, kuna athari itatokea kwa jamii zingine kubeba chuki dhidi yao ambayo yaweza kumature na kuwa tishio. Wachagga waachwe kwenye biashara kama wahindi na waarabu. Wapate nafasi ndogo ndogo tu.
 
Imagine unasoma barua hiyo unakuta.

11. Amemteua Bw. Lengai Ole Sabaya kuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kabla ya hapo alikuwa mkuu wa wilaya ya Hai.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kilimanjaro ndio ingependeza zaidi πŸ˜€wachaga wangetapika pombe zote walizokunywa.....lol πŸ˜€

Ila never say never...she is capable of such suprises
 
Yaani siku hizi nacheka sana linavyotapatapa na vihabari vya kijinga. Kipindi kile leo angekuwa amesharusha majina ya wakuu wa mikoa. Yaani sasa hivi kapwaya anaparamia watu hovyo hovyo tu!
 
Mwenye plan ni DED
 
Raisi Samia tuletee makonda hapa Kilimanjaro amnyooshe mnywa konyagi na genge lake.

Kama unampenda akunyooshe ww, mfuate, Makonda hafai hata uenyekiti wa kijiji, Mama Samia hafanyi makosa hata kidogo ya naona hiyo kuchagua type ya akina Makonda.
 
Mkuu hujajua Mana ya utumishi ni kuolewa na aliyekuoa hajui yako.
Kama Ana mipango si aachane na kazi ili aifanye vizuri. Mtu akiwa nje wa uwanja anaongea mengi Mara kujiajiri sijaona aliyeacha kazi ili ajiajiri.

To change discipline muscle behavior sio suala la kitoto mkuu.
Mfano wewe kazi unayonifanyia ukiambiwa ubadilishe Kuna umtiti
 
Plan za Serikali iko kwenye makaratasi siyo kichwani mwa mtu...Wacha kudanganya watu. Kinachotakiwa ni kila anayeingia ajue mpango wa Serikali wa muda mfupi, Kati na muda mrefu kwa kila sekta. Hakuna kiongozi anayetekeleza yake ya kichwani. Hiyo mipango huwa inaingizwa kwenye ilani ya vyama vya siasa ila chama tawala huja kuyatekeleza. Period
 
Sasa Hamduni hapa pake. Amekuwa kwenye Kitengo cha Intelijensia na upelelezi pale Makao Makuu ya Polisi kwa miaka ya kutosha. Na alifanikisha misheni nyingi kwa muda aliokaa pale. Kwangu mimi kwa jinsi ninavyomfahamu anastahili hiyo nafasi
 
Popote alipo Ndugu ALBERT CHALAMILA naomba tafadhali aje hapa. Nimeandaa tafrija fupi ya kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa RC wa Mwanza.
Walimponda sana huyu Ndugu. Ukiwauliza, kosa lake ni nini? hawana majibu. Hongera sana Ndugu ALBERT CHALAMILA.
 
Popote alipo Ndugu ALBERT CHALAMILA naomba tafadhali aje hapa. Nimeandaa tafrija fupi ya kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa RC wa Mwanza.
Walimponda sana huyu Ndugu. Ukiwauliza, kosa lake ni nini? hawana majibu. Hongera sana Ndugu ALBERT CHALAMILA.
Tunamkaribisha Mwanza mchapakazi makini Chalamila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…