Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mbona kuna wazee wengi wa kiteuliwa kama Mkuchika why Makongoro asiteuliwe?..wangeteua hata mwanae au mjukuu wake makongoro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kuna wazee wengi wa kiteuliwa kama Mkuchika why Makongoro asiteuliwe?..wangeteua hata mwanae au mjukuu wake makongoro.
Mbona kuna wazee wengi wa kiteuliwa kama Mkuchika why Makongoro asiteuliwe?
Chalamila anaendelea kupeta tu Dah!
Intelijensia na Upelelez toka lini??? Hao ni watu wawili tofauti ambao hawaivagi chungu kimoja na hata siku moja hawaingilianiSasa Hamduni hapa pake. Amekuwa kwenye Kitengo cha Intelijensia na upelelezi pale Makao Makuu ya Polisi kwa miaka ya kutosha. Na alifanikisha misheni nyingi kwa muda aliokaa pale. Kwangu mimi kwa jinsi ninavyomfahamu anastahili hiyo nafasi
Hiv kicheo kati ya DPP na jaji wa mahakama kuu nani yupo juu?Raisi Samia tuletee makonda hapa Kilimanjaro amnyooshe mnywa konyagi na genge lake.
Acha ukabila Ndugu jenga hoja.Arusha toka lini ikawa ngome ya Wachagga? Ngome ya wachagga ni Wilaya 4 za Kilimanjaro tu. Wanajaribu kutumia elimu na pesa zao vibaya. Arusha pia sio ngome ya CHADEMA hata kidogo. Lema alishinda kwa bahati tu ya mfarakano wa CCM Arusha. Nawashangaaga sana siku hizi wachagga wakitaka kuongelea kitu kinachowahusu wachagga, wanasema "MOSHI na ARUSHA". Najua ni mkakati lkn wakae wajue Arusha wapo Wairaq, Wameru, Waarusha na Wamasai. Wachagga wapo Arusha kibiashara kama walivyo Warangi, Wapare, Wanyaturu na Wanyiramba. Wapo Arusha kama walivyo DSM, Mwanza, Morogoro na Korogwe.
Ile ni zawadi tu wala hakuna uongozi pale..mama angeleta watu wapya siyo wazee wahenga kama makongoro nyerere.
Kwenye hivyo vyeo kuna mambo mengi ya kimkakati...mama angeleta watu wapya siyo wazee wahenga kama makongoro nyerere.
Mkuu mbona sasa kama unachonganisha. Utumishi wa Umaa siku hizi ndivyo ilivyo, leo wewe, kesho utapangiwa kazi na junior officer wako wa jana. So you are suppose to be smart always.Kwanini watu hawa wanapopata vyeo wanapenda kuhenyesha wengine bila sababu yoyote? Ninamuombea hamduni asimame imara. Afanye kazi yake kwa weledi na uadilifu.
katika ufalme wake, asimsahau Kangi Lugola. Naye yupo ila sijui yupo katika hali gani 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hakuna kitu pale ni zawadi tu kama ya happy birthdayKwenye hivyo vyeo kuna mambo mengi ya kimkakati.
Kuna wanaoteuliwa kuleta Suluhu za kiuchumi, kukomesha vurugu mahali husika, kuimarisha usalama nk.
Kuna watu wanateuliwa mahali kuvunja nguvu za mitandao ya kisiasa ya ndani kwa ndani CCM ili ikibidii kupandikiza na kuimarisha mitandao inayohitajika.
Kwahiyo usishangae kuona wazee kama Makongoro kwenye baadhi ya maeneo.
Kwenye hivyo vyeo kuna mambo mengi ya kimkakati.
Kuna wanaoteuliwa kuleta Suluhu za kiuchumi, kukomesha vurugu mahali husika, kuimarisha usalama nk.
Kuna watu wanateuliwa mahali kuvunja nguvu za mitandao ya kisiasa ya ndani kwa ndani CCM ili ikibidii kupandikiza na kuimarisha mitandao inayohitajika.
Kwahiyo usishangae kuona wazee kama Makongoro kwenye baadhi ya maeneo.
Yeye aliyewateua ndiye anafahamu utendaji wao, unajua kocha ndiye anaona uchezaji wao si mashabikiAli Hapi na Chalamila tena MAMA da!!! Sio fair lakini ujue mi sili leo
Kitombile, kwa nini unasema hivyo?Paul Makonda angeteuliws Mwanzs ingekuwa poa sana
Unajua hayati alikuwa anapandisha vyeo kwa mdomo kutokana na furaha yake wakati huo.Inawezekana maana nasikia upandishwaji wake wa cheo cha Major General ulikuwa na ukakasi fulani hivi!!!!