Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Makanisa yao siwezi kwenda hata kwa dawaMtume Boniface Mwamposa pamoja na Mchungaji Tony Kapola wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.
Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
View attachment 3665914View attachment 3665915View attachment 3665916
Mtume Boniface Mwamposa pamoja na Mchungaji Tony Kapola wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.
Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
View attachment 3665914View attachment 3665915View attachment 3665916
Mashetani na matapeli yamekutana.Ok sawa, wamefanya vyema kwenda kumfariji mkuu wa nchi, hongera kwao
Sasa mfiwa na hizo bendera za kazi gani, si ameshakaimisha majukumu kwa Mgogo.Mtume Boniface Mwamposa pamoja na Mchungaji Tony Kapola wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.
Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
View attachment 3665914View attachment 3665915View attachment 3665916
Mashetani na matapeli yamekutana.
Matapeli wameenda kumfariji mwenzao!
Utakufa masikini wewe, Kapola anajaza mitungi ya gas bure anapuliza tuu!Makanisa yao siwezi kwenda hata kwa dawa
Ongea na bwana Lucas MwashambwaHivi nikienda hata mimi nitaruhusiwa?
Natamani kwenda kumfarij mama
Sasa hao wafuasi wa Kapola ndio maiti kabisaUtakufa masikini wewe, Kapola anajaza mitungi ya gas bure anapuliza tuu!
Mwamposa utapata upako unapokea miracle money.