Rais Samia afungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za SADC, leo Julai 3, 2023

Rais Samia afungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za SADC, leo Julai 3, 2023

we mbwa hiyo hela uliyopewa itaisha lakini mma yetu ni hampion hakuna mfano. Nyau km nyie hamna impact mnaweza kuleta.
Muulize mama yako kama mimi ni mbwa, ananijua sana na yupo humu tunachati, kitu maridadi
 
mlaumu mamako kukuzaa mpumbavu kiasi hicho. Huoni hata haya, takataka na washamba km nyie sukuma gang hamtapata tena uongozi wa nchi yetu.
mama yako ninaye hapa nimwambie nini? kuwa umenitukana? yupo hata kitu maridadi
 
achana na upuuzi huu. Tunataka bandari zetu. These are petty issues at present for Tanganyikans
Tanganyika ilikufa mwaka sitini na nne miaka sitini iliyopita. Bandari bado ni yenu lakini tunaikodisha kwa mwekezaji mwenye kuja na utendaji kazi wenye ufanisi bora zaidi.
 
Bunge letu ni la hovyo kwa kuupitisha mkataba wa bandari sijui huyo tulia akikutana na spika kama wa UG aliyesimamia kupitisha sheria ya kupinga ushoga huku yeye tena akijidai ni mwanasheria halafu anapitisha mkataba wa hovyo kama wa bandari atajionaje halafu eti anagombea sijui nini wa mabunge duniani nani amchague spika wa aina yake

Huo mkutano hauna maana kama bandari yetu inawekwa rehani kwa maharamia
 
Tanganyika usawa umetupeleka huku pa kusaini bila kusoma unachokisani👇👇👇👇
 

Attachments

  • 57D115FD-496F-45A3-9333-7030156FFE76.jpeg
    57D115FD-496F-45A3-9333-7030156FFE76.jpeg
    58 KB · Views: 2
  • 511856F1-464F-41C8-BAAE-452C8B9F19E6.jpeg
    511856F1-464F-41C8-BAAE-452C8B9F19E6.jpeg
    79.5 KB · Views: 2
  • 6278EC0E-DD6D-44CB-9375-DEA4BD231290.jpeg
    6278EC0E-DD6D-44CB-9375-DEA4BD231290.jpeg
    32 KB · Views: 2
  • 2EE87D88-B1E5-4B7F-AC50-2FC478AF3B90.jpeg
    2EE87D88-B1E5-4B7F-AC50-2FC478AF3B90.jpeg
    131.1 KB · Views: 2
  • 400C6DB8-CA1D-4DED-95E1-0420D1131D8F.jpeg
    400C6DB8-CA1D-4DED-95E1-0420D1131D8F.jpeg
    75.7 KB · Views: 2
  • F67EDB5A-2408-4AA5-B9BD-6BD653D87E0E.jpeg
    F67EDB5A-2408-4AA5-B9BD-6BD653D87E0E.jpeg
    150.5 KB · Views: 2
  • F339963B-3E34-4D4C-AE44-0C2FB6BDD95B.jpeg
    F339963B-3E34-4D4C-AE44-0C2FB6BDD95B.jpeg
    55.3 KB · Views: 1
  • 07BCE1D6-1446-4129-AEE0-EB1F7C6A8877.jpeg
    07BCE1D6-1446-4129-AEE0-EB1F7C6A8877.jpeg
    55.1 KB · Views: 2
Kachukue hiyo bandari kama ya babako kachukue
Kuna watu vichwani hamnazo kabisa, yani unaona mambo ya bandari ni sawa? mimi na wewe tutapita, vipi huu utumwa tunaoacha kwa vizazi vinavyokuja?
 
Na kalamu Maria Sarungi-Tsehai

Port of Dar - TPA and Benki ya Dunia
Nawarudisha mwaka 2017/18 Benki ya Dunia ilikubali na kuingia mkataba wa mkopo wa maendeleo na serikali wa kuimarisha Bandari ya Dar es Salaam chini ya mradi unaoitwa Dar es Salaam Maritime Gateway Project ambapo dola za kimarekani (USD) milioni 400 ilitolewa kuimarisha miundombunu halisi (phyiscal) na dola milioni 21 kwa ajili ya kuimarisha taasisi na kusaidia kutekeleza mradi Mamlaka ya kutekeleza mradi huu ni TPA - pesa ilienda huko Mradi unaisha 30 June 2024 (mwakani) Kwa kifupi sisi wananchi tutalipa deni hili sehemu kubwa ya milioni 421 iliyotolewa na Benki ya Dunia na kuwekezwa ktk kuimarisha bandari Sasa tuchambue ripoti nini kimefanyika, na kwa nini DP World imetajwa katika ripoti hii?
Katika muhtasari wa Dar es Salaam Maritime Gateway Project report iliyotolewa February 2023 (mwaka huu) inaonyesha kuwa utekelezaji umezidi kuzorota na RISK ya mradi umeongezeka na kuwa SUBSTANTIAL yaani kuna hatari mradi kutotimiza malengo Inaelezwa kuwa mradi huu ulioidhinishwa 2017 na kuanza kutekelezwa 2018 ina mikataba 7 ikiwemo mashirika 5 ya consulting. Utekelezaji bado siyo mzuri na lengo la kuONGEZA UFANISI wa ports and terminals zote zinazoendeshwa na TPA, na kuijengea uwezo kuwa MENEJA na DEVELOPER (mwendelezaji) wa ports zingine huku ikiendelea kutathmini uwekezaji binafsi (tulikuwa bado hatujafikia hiyo hatua)
Katika ripoti ya World Bank ghafla DP World imeibuka Sasa ngoja niwaeleweshe Sehemu ya mkopo na msaada wa $421 milioni kuna pesa ya kujenga mfumo wa IT wa bandari kupitia TPA. Ripoti ya Benki ya Feb 2023 walisema hakuna maendeleo ILA TPA imesema imeingia makubaliano (MoU) na DP World kujenga mfumo huu wa IT ELEWENI: DP World watalipwa kutoka pesa hizi za mkopo wa Benki ya Dunia kusaidia “mifumo isomane” hawawekezi Pili kwa mujibu wa serikali walisema ile MoU ya TPA na DPW ni kuhusu mfumo wa IT (tunaambiwa ilisainiwa Feb 2022) Imekuwaje consultancy ya DPW ya IT imegeuzwa kuwa IGA na tunatoa bandari zetu kwa kusema eti DPW watatusaidia mifumo isomane alafu tunawapa uendeshaji wa bandari ambao UMESHAKAMILIKA kwa uwekezaji mkubwa wa mradi huu? Hii dili ilianza kama CONSULTANCY na kugeuzwa UPORAJI.

Pesa za mkopo wa World Bank zimetumika (na kukamilika) kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani kupanua mlango wa bandari hadi Gati 11 kuboresha na kuunganisha na reli Kupanua na kuimarisha Gati 8-11 Kuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7 Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini?? Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu! Nyieeeeeeeeee! Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
 
Back
Top Bottom