Pre GE2025 Rais Samia afunguka ya Moyoni: Kuna waliosema tuna Rais wa kuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party, hatuna Rais tuna House girl…

Pre GE2025 Rais Samia afunguka ya Moyoni: Kuna waliosema tuna Rais wa kuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party, hatuna Rais tuna House girl…

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kila msemo tutasikia zamu hii, ngoja tusubiri mwijaku naye atatokaje, ukizingatia awamu ijayo anapata uDc
 
Eee Mwenyezi Mungu mhifadhi na kumlinda rais wetu Samia dhidi ya kila mabaya ,fitna na mipango miovu dhidi yake ,aaamin aaamin!

#JMT milele
 
Kwahiyo hapo alipo anaona mambo yako shwari tu?

Huyu bibi vipi
Usipokubali kuwa Rais Samia amechukua nafasi ya hayati JPM....utaendelea kujipa hamaniko tu.....

#Rais Samia kipenzi cha watanzania !
 
Sasa kwani yeye huyo mwanamke si ni kwa dondokela tu akawa?! Ama lini alikuwa hapo alipo kwa uwezo wake?
Sasa ukuona kawavimbia ccm kwamba yeye ndiye mgombea pekee na wameufyata, halafu akaondoka akasema wao ndio wameamua, pia waka ufyata.

Na tume wameshajipanga kumtangaza, wanasema mitano tena, we unaishi wapi china?
 
Mbona kama amatokea kwa paulo?
Screenshot_20250222-032852.png

By the way anauoga wa kugonganisha macho huyu mwamba 😁😁
 
Ni kumshukuru tu CDF wa wakati huo aliyewakumbusha Wahafidhina kufuata Katiba ya JMT! Aliyetuchagulia Mama ndiye aliyetufikisha hapa.
 
Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa.

Akishiriki Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi katika Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025, Samia amesema;

"Hapa nataka kusema ya Moyoni, kwenye wahafidhina wa mfumo dume kwamba wakati ule hakukua na imani kabisa, hakukua na imani au kuamini kwamba yule mwanamke anaweza kufika hapa [hakukua..]"

"Kuna waliothubutu kusema tuna Rais wakuambiwa fanya tu na atafanya. Kuna waliothubutu kusema hatuna Rais tuna House girl. Kuna waliothubutu kusema maamuzi ya Kitchen Party, yale ambayo nilikuwa nafanya"

Soma, Pia: Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia

Lakini ni kweli alikuwa anaamrishwa na Jakaya na ndiyo maana hata teuzi zake zilikuwa za kijinga sana, ila sasa kabadilika baada ya kuona alikuwa analostishwa na mtu aliyeshindwa kuongoza nchi kwa Maika 10.
 
Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa.

Akishiriki Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi katika Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025, Samia amesema;

"Hapa nataka kusema ya Moyoni, kwenye wahafidhina wa mfumo dume kwamba wakati ule hakukua na imani kabisa, hakukua na imani au kuamini kwamba yule mwanamke anaweza kufika hapa [hakukua..]"

"Kuna waliothubutu kusema tuna Rais wakuambiwa fanya tu na atafanya. Kuna waliothubutu kusema hatuna Rais tuna House girl. Kuna waliothubutu kusema maamuzi ya Kitchen Party, yale ambayo nilikuwa nafanya"

Soma, Pia: Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia

Lakini si ni kweli Mama, Kikwete alikuharibu sana na ushauri wake. Utachukuaje ushauri wa kilaza aliyeshindwa kuongoza nchi na jimbo lake?
 
Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye maamuzi ya Kitchen Party" wakati akizungumzia nafasi ya Mwanamke katika Uongozi katika Siasa.

Akishiriki Madhimisho ya Miaka 10 ya Programu ya Mwanamke Kiongozi katika Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam, leo tarehe 21 Februari,2025, Samia amesema;

"Hapa nataka kusema ya Moyoni, kwenye wahafidhina wa mfumo dume kwamba wakati ule hakukua na imani kabisa, hakukua na imani au kuamini kwamba yule mwanamke anaweza kufika hapa [hakukua..]"

"Kuna waliothubutu kusema tuna Rais wakuambiwa fanya tu na atafanya. Kuna waliothubutu kusema hatuna Rais tuna House girl. Kuna waliothubutu kusema maamuzi ya Kitchen Party, yale ambayo nilikuwa nafanya"

Soma, Pia: Rais Samia: Nafasi ya Uongozi unayoipata Mwanamke isiwe sababu ya kuharibu familia

Tukiwaambieni wanawake awana akili ya uongozi ndiyo mjue kielelezo ni huyu zuzu bushiri yaani anajifanya kuwa ajui kuwa akubaliki na yoyote siku kwa siku zinavyo enda ndiyo anazidi kuonekana mpuuzi....sasa huko kuweza anako zungumzia ni juu ya watu gani ? Labda mafisadi kina rostam azizi tu...hii ni ishara kamili ya kuongozwa na kiongozi kipofu. ..ushahidi upo wazi kuwa akubaliki na wananchi na hata ndani ya ccm akubaliki ndiyo maana kafanya hujuma kwenye iujiteua kuwa mgombea wa ccm....kama nilivyo sema kuwa kuendelea kwa samia kipindi cha pili ndiyo mtashuhudia uchafu wa ajabu sana na damu nyingi atamwaga ...pia mtashuhudia ...kituko kingine kwenye kumpata mtu waxkugombea urais 2030 maana kilicho fanyika majuzi ccm....kitafanywa tena 2030 ... haya yatakuwa funzo kwa,wale wanao mtetea upumbavu wa wanawake kuwa viongozi na wale wapumbavu wanaopiga mfumo dume na wale wapumbavu wanao pinga mfumo jike ...hao ndiyo wale wasio jua mfumo dume na mfumo joke ni nini ? Mfumo dume ni kumfanya mwanamume kuwa mwanamume kwelikweli na kutawala mamlaka zote za umwanaume kikamilifu na mfumo jike ni kumfanya mwanamke kuwa mwanamke kwelikweli na kuketishwa katikq nafasi yake .... siyo huu mfumo jike wa kureplace mfumo dume yaani kumpa mwanamke haki impayayo mwanaume na mwanaume kuoewa haki impasayo mwanamke huu ni MFUMO WA KIANITHI NDIYO DUNIA NA WANAWAKE WAPUMBAVU WANATAKA IWE HIVYO SAWA SAWA NA UPUMBAVU WA AKILI ZAO ...
💥Naufananisha mfumo DUME na UJAMAA na mfumo JIKE na UBEPARI ukimsikia mtu anasema ujaamaa haufai bali ubepari.....jua huyo ni mpumbavu ....na ukimsikia mtu anasema ubepari haufai bali ujamaa na huyo naye ni mpumbavu kwa sababu ujamaa na ubepari vyote kwa pamoja vinatakiwa kuwepo katika nchi hila kwa mfumo ulio sahihi kuna mifumo 4 yaani
1) SERIKALINI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI
2) SERIKALINI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIJAMAA
3) SERIKALINI YA KIBEPARI NA UMMA WA KIBEPARI
4) SERIKALINI YA KIBEPARI NA UMMA WA KIJAMAA.
Hapo mfumo sahihi ni huo NO 1 WA (SERIKALI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI)
Na hivyo hivyo kwenye mambo ya mfumo dume na mfumo jike.
Kwa sababu mfumo DUME ni sawa na ujamaa hivyo ni lazima wenyewe ndiyo uongoze taifa kama ilivyo kwa UJAMAA ndiyo unatakiwa kuongoza serikali.
 
Mimi nadhani angetangaza nia ya kugombea urais sasa kwa kuruhusu wengine wenye nia ya kugombea urais ndani ya chama chakavu, wachuane kwa hoja kisha wapitie mchakato wa chama uliopo kikatiba! ...kwa vyovyote kwa sifa anazopewa na mabango ya taswira yake nchi nzima, angewashinda wote kabla ya kupambana na Simba Tundu Lissu....

Aachane na mbeleko ya wazee waliojichokea, na wale wenye masilahi binafsi....Akishinda atawafunga midomo wote wanaoitwa mfumo dume na wengine wasiomuona kama anayefaa kuendelea kukalia kiti cha urais. 🤔
Huu upupu kawaandikie nyumbu wenzako
 
Back
Top Bottom