Ukimchekea Mumeo inatosha BibieNi pumba gani unaziandika mpuuzi wewe mimi ninaekusimulia ni muhanga wa hizo vurugu za gas sasa unaniletea drama za kipuuzi hapa halafu nikuchekee
Gas ipo matakoni kwa mama yako mpumbavu wewe na huyo mumeo kikweteUkimchekea Mumeo inatosha Bibie
hapa tupo kusherehekea Maisha ya Kamande Zelothe aliefanikiwa kudhibiti Wahuni wa Mtwara waliojaribu kuukomoa Mkuki kwa kukalia kwny Ncha yake
Kichapo mlipata na Gas sasa ipo Kinyerezi
Oooh!....ina maana aliyekuwapo alishindwa hiyo kazi ?Pole Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa kuondokewa na Best yako wa muda mrefu
Zelothe Stephen ndie akiwa tayari amestaafu kuwa RPC akiwa pale Dodoma ndie akapokea maelekezo ya kuendelea kutumikia Nchi katika capacity ya Kamanda wa Mkoa akapelekwa Mtwara kuwa RPC wakati wa vurugu za Gas na mwana Mama aliekuwa pale kama RPC na kazi akaisimamia Zelothe chumba kwa chumba shuka kwa shuka hadi akarejesha amani kule Kusini
Kwaheri Mwamba sie Wakwere hatuna tunachokudai
Yes, alikuwa Mwana Mama akaondolewa maana alihitajika Mzalendo na jasiri wa viwango vya ZelotheOooh!....ina maana aliyekuwapo alishindwa hiyo kazi ?
HahahahaGas ipo matakoni kwa mama yako mpumbavu wewe na huyo mumeo kikwete
Kwahiyo lengo la mpuuzi kikwete ni kupeleka kinyerezi tu basi au kuuza umeme kongo kama alivyokadanganya watu huyo nguruwe?Hahahaha
huna tusi jipya la kunitukana Kijana …mie Mkwere kwa Baba, Mama, Bibi na Babu na katika vitu ambavyo havitunyimi usingizi Wakwere ni matusi na shutuma
mlisahau kuwa Mtwara ni sehemu ya Jamhuri ya .Muungano wa Tanzania
Mtu Kakutawala miaka kumi, kakutwanga Wewe na Wahuni wenzako mlipojaribu kuleta vurugu, kachukua gas kapeleka anapotaka tena kwa kutumia kodi yako na ukoo wako …una haki zote za kumuita Mpuuzi nae ana haki ya kukuita Mpiga kura wake na huo ndio Utanzania tunaojivuniaKwahiyo lengo la mpuuzi kikwete ni kupeleka kinyerezi tu basi au kuuza umeme kongo kama alivyokadanganya watu huyo nguruwe?
Muulize THE BIG SHOW anaelewa vizuri maana ya kurejesha amani kule Mtwara.Unaposema kurejesha amani huku mtwara unamaanisha nini?Kikwete ni zaidi ya shetani
Muulize THE BIG SHOW atakupa habari kamili.Hahahaha kwani kuna nini boss?
Wewe ndio mlikuwa bega kwa bega na THE BIG SHOW kuzuia Gas isitoke?Ni pumba gani unaziandika mpuuzi wewe mimi ninaekusimulia ni muhanga wa hizo vurugu za gas sasa unaniletea drama za kipuuzi hapa halafu nikuchekee
Mimi ni mzaliwa wa hapa mtwara kwahiyo hakuna wakumuulizaMuulize THE BIG SHOW anaelewa vizuri maana ya kurejesha amani kule Mtwara.
HahahahaGas ipo matakoni kwa mama yako mpumbavu wewe na huyo mumeo kikwete
Duh!Gas ipo matakoni kwa mama yako mpumbavu wewe na huyo mumeo kikwete