Rais Samia ahitimisha Ziara ya Kikazi Mkoani Tabora

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Tabora kwenye Uwanja wa Ndege wa Tabora baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi mkoni humo tarehe 19 Oktoba, 2023.

Picha nyingine ni Rais Samia akimsalimia Kijana Cosmas Anthony kunije (27) mkaazi wa Kigoma Mwanafunzi wa Masomo ya Maendeleo ya Jamii ngazi ya Cheti (Certificate) katika Chuo cha St-Joseph College, Kampasi ya Singida wakati alipokutana nae katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Singida.




 
Na hapo wanaona ni sawasawa akiwa na baiskeli ya Aina hii mlemavu huyu! Huku wenye kijani wakiendelea kupiga hela kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…