Rais Samia ahsante sana, Nikki wa Pili ni uteuzi bora kabisa

Tunachofeli Tanzania ni kufanya uongozi kama sehemu ya majaribio.
 
Kwa hiyo kuwa Genius ndio sababu ya kupewa huu ukuu wa wilaya au kuwa mkuu wa wilaya kunamfanya kuwa yeye ni Genius?
Bado sijaona mantiki ya mleta mada.

Any way, tunampa hongera kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya (maana ni heshima kubwa kuteuliwa na Rais) lakini tunampa haya maangalizo...
1. Mlango alioingilia ndio mlango atakaotokea, huwa uko wazi saa zote.
2. Tabia zake halisi ndio zinaenda kuonekana sasa.
3. Uwezo wake wa kuzitumia akili zake ndio unaenda kupimwa na jamii.
4. Kukubali kuishi kwa ajira ya kuteuliwa ni kukubali kupumbaza uwezo wake wa kiakili kwa sehemu kubwa sana.
 
Reactions: bdo
Nampendaga sana Niki wa pilli ni mnyenyekevu na mstaarabu.
Una uhakika?
Una mfahamu vizuri?
Anaongea kwa unyenyekevu na ustaarabu lakini kiuhalisia ni mtu mwenye kujisifia sana, maringo ya kitoto, mnafiki na muongo fulani. Kama huamini haya anza kufutilia nyendo zake hata sasa.
 
Mhh simjui kwa undani ila napenda tu personality yake anapenda familia.
 
Na 4 siyo kweli. Huwezi kuwa mtumishi ukabaki na akili ileile. Labda uwe umeamua kubaki hivyo. Nikki atakuwa wa mkoa soon. Subiri.
 
Sio kwa chuki ila me sijawahi kuona ugenius wa huyu jamaa zaidi ya kujijaza misifa kwenye nyimbo zake kuwa yy kasoma.
Labda anaonekana kuwa na nafuu kwa kuwa kwenye tasnia aliyopo inaonekana yy ndiye ana elimu kdogo.
Kwenye wimbo gani kasema yeye kasoma?
 
Umeandika hii comment kwa uchungu sana, pole
 
Una uhakika?
Una mfahamu vizuri?
Anaongea kwa unyenyekevu na ustaarabu lakini kiuhalisia ni mtu mwenye kujisifia sana, maringo ya kitoto, mnafiki na muongo fulani. Kama huamini haya anza kufutilia nyendo zake hata sasa.
Ni wapi Nikki aliwahi kumringia mtu au kujisifia?
 
U- genius wake ni upi? Kafanya kitu gani special hadi tumuite genius? Mbona ni wa kawaida sana labda kwako ndo unamuona bab kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…