Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Kuteuliwa u-DC kusiwafanye watu wa kawaida kuitwa "geniuses".
Someni dhana ya mtu kuwa genius.
Someni dhana ya mtu kuwa genius.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kiherehere chako nikajua na wewe ni geniusHivi unajua kusoma kweli? Wapi nimeandika mimi ni Genius
Wewe umefanya kitu gani special? Kuolewa?U- genius wake ni upi? Kafanya kitu gani special hadi tumuite genius? Mbona ni wa kawaida sana labda kwako ndo unamuona bab kubwa
Umeumia eeh?Kumbe bongo kila mtu ana genius wake,Cha msingi tu akuzidi elimu.
Daaa!!!!!!.
Perfomance na course anayosoma/aliyosomea mtu havina mahusiano! Hapo ni suala la unataka nini kwenye maisha yako.kupata division one ordinary level ndio genius angesoma development studies!
Hakuna ambae anasema uyu ndugu kuteuliwa ni shida , shida je anakidhi viwango linganisha na nafasi aliyopewa, au ni ile mh kusema kwamba watu wanasema nafasi za uteuzi zinaenda kimtandao akaamua fanya hivi,Nani kama mama? Ukikutana na watu 10, basi 7 Kati yao watakuambia wanampenda sana mama kuliko baba.
Mama Samia kweli amedhmairia kuifikisha Tanzania kwenye nchi ya asali na maziwa, niseme wazi kuwa mimi sijawahi kuamini kiongozi Bora anaweza kutoka nje ya mfumo wa CCM.
Ujio wa mama Samia ni ujumbe kuwa CCM bado Ina hazina ya viongozi wenye maono na wenye uwezo mkubwa Sana
Mama Samia siku ya jana umetufurahisha sana watanzania kwa kumteua the genius NIKKI WA PILI, hakika ni furaha isiyomithirika.
Nikki wa Pili ni genius, ni kijana shupavu, hodari, mpole, mnyenyekevu na mwenye busara ya hali ya juu sana. Waswahili wanasema usiandikie mate wakati wino ungalipo. Muda utasema kuhusu Nikki wa Pili. Namuona mbali sana.
Mama umetutendea vyema sana kumleta Nikki wa Pili.
Kwa wasiomjua huyu kijana nitaeleza kwa ufupi hapa chini.
Nikki alizaliwa na kusomea Arusha, alipomaliza darasa la 7 na matokeo kutoka hakupata bahati ya kuchaguliwa(kipindi kile kufaulu kulikuwa kugumu sana) hivyo Nikki akakaa nyumbani kutokana na familia kutokuwa na uwezo wa kumsomesha shule binafsi. Hivyo akabidi ajatafute kibarua kwenye kuuza duka soko la kilombero mkoani humo.
Baada ya miezi mitatu ikatoka second selection, na hatimaye jina la Nickson Simon likatoka na hivyo kuendelea na masomo shule ya secondary Arusha.
Ilipofika form 4 Nikki akapata Division 1 na kupangiwa kwenda Kigoma Secondary kwa ajili ya masomo ya Advance(A-Level). Mazingira ya kwenda huko hayakuwa mazuri kwa maana ilibidi aungeunge sana ili kufika Kigoma na kuanza masomo.
Na alipomaliza Form 6 akapata Div 1 na kuamua kwenda kujiunga na chuo kikuu Cha Daressalaam (UDSM).
Kipindi yupo UDSM, kaka yake Joh Makini alikuwa taayari msanii mkubwa sana Tanzania akitmaba na ngoma zake kadhaa ikiwemo chochote popote.
Hivyo Joh Makini alihitaji kufanya wimbo mwingine na siku anaenda studio pale Kama kaea records ubungo alikuwa ameongizana na Nikki wa Pili ambae yeye alikuwa anaenda zake mabibo hostel.
Joh akiwa nje anapasha sauti ili aanze kurekodi wimbo maana beat ilikuwa tayari. Ghafla Nikki wa Pili akaomba afanye kama anajaribu kwenye hiyo beat.......the rest is history.
Watu wote studio walikuwa hawaamini wanachokisikia, na baadae wimbo wa "Niaje Nivipi" ulikuwa mkubwa kupita maelezo na kumtambulisha rasmi Nikki wa Pili.
Nikki wa Pili akaamua kuendeleza kutoa nyimbi zingine kama ; Good Boy, Excellent, Feelings, Higher, Kila wakati, Pea, Kiujamaa n.k
Hii story itaendelea.................
AHSANTE SANA MAMA SAMIA KWA ZAWADI HII YA NIKKI WA PILI, MUNGU AKUBARIKI SANA
View attachment 1824414
Akatae na hiyo awajue wasiojulikanaAliwahi kuimba "Sitaki Kazi"
Umeandika kwa uchungu mkubwa sana, kunywa majiHakuna ambae anasema uyu ndugu kuteuliwa ni shida , shida je anakidhi viwango linganisha na nafasi aliyopewa, au ni ile mh kusema kwamba watu wanasema nafasi za uteuzi zinaenda kimtandao akaamua fanya hivi,
Sikiliza tz hatutaki teuzi za namna hii, bali zenye tija bila kujali mteuliwa anatoka chama gani au ana nafasi gani kwenye jamii, swala apa ni mteuliwa ambae anatosha kwenye teuzi husika full stop ,
Tunayaona yanayoendelea chini ya SABAYA, hacheni utani Mara moja ,ngazi ya WILAYA Kuna watu , tena watu kweli anzia kamati ya ulinzi ya WILAYA, tz ni vichwa vya mwendawazim
Nikupe connectionHivi professor palamagamba ana mke?
Hongera Nick, hayo mengine yamejitype agrrrr hii simu nayo
Ipi tena mdogo wanguNikupe connection
Ya uliyemuuliziaIpi tena mdogo wangu
Nilitaka kumwambia afiche mke, vijana wanaingia mjini....asijeona manyoyaYa uliyemuulizia
Hivi professor palamagamba ana mke?
Hongera Nick, hayo mengine yamejitype agrrrr hii simu nayo
Mapigo whaaaat 😂Hayo mapigo mia kenda na kenda ndo malipo yake hayo, sijui hata unaongelea nini!
Hiyo namba nne naomba nipingane nayo. Hayati JPM alionyesha uwezo wake wa kazi baada ya kupewa unaibu waziri. Na wapo wengi tu wanaozitumia vyema nafasi wanazopewa.Kwa hiyo kuwa Genius ndio sababu ya kupewa huu ukuu wa wilaya au kuwa mkuu wa wilaya kunamfanya kuwa yeye ni Genius?
Bado sijaona mantiki ya mleta mada.
Any way, tunampa hongera kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya (maana ni heshima kubwa kuteuliwa na Rais) lakini tunampa haya maangalizo...
1. Mlango alioingilia ndio mlango atakaotokea, huwa uko wazi saa zote.
2. Tabia zake halisi ndio zinaenda kuonekana sasa.
3. Uwezo wake wa kuzitumia akili zake ndio unaenda kupimwa na jamii.
4. Kukubali kuishi kwa ajira ya kuteuliwa ni kukubali kupumbaza uwezo wake wa kiakili kwa sehemu kubwa sana.