Rais Samia ahsante sana, Nikki wa Pili ni uteuzi bora kabisa

Kumbe bongo kila mtu ana genius wake,Cha msingi tu akuzidi elimu.
Daaa!!!!!!.
 
Hakuna ambae anasema uyu ndugu kuteuliwa ni shida , shida je anakidhi viwango linganisha na nafasi aliyopewa, au ni ile mh kusema kwamba watu wanasema nafasi za uteuzi zinaenda kimtandao akaamua fanya hivi,

Sikiliza tz hatutaki teuzi za namna hii, bali zenye tija bila kujali mteuliwa anatoka chama gani au ana nafasi gani kwenye jamii, swala apa ni mteuliwa ambae anatosha kwenye teuzi husika full stop ,

Tunayaona yanayoendelea chini ya SABAYA, hacheni utani Mara moja ,ngazi ya WILAYA Kuna watu , tena watu kweli anzia kamati ya ulinzi ya WILAYA, tz ni vichwa vya mwendawazim
 
Umeandika kwa uchungu mkubwa sana, kunywa maji
 
Kwangu mm huu ni uteuzi wa mashaka, ana kazi kubwa sana ya kuonyesha kuwa wenye wasiwasi na yeye hawapo sahihi.
 
Nikki ni mtu average hana huo U genius unaousema, background ya jamii inayomzunguka ndiyo inayomfanya aonekane ana utofauti(elimu). Shule toka mwanzo amekua aki struggle na kupata ufaulu ambao hata wenzake walikuwa/wamekuwa wakipata. Kuhusu kuwa kwenye mziki ni wazi Ar ni kitu cha kawaida hasa yeye ambaye kaka yake alishatambulika mda mrefu kwenye mziki ikawa ni rahisi, lkn uwasilishaji wa mziki wake ni wa kawaida kabisa.
 
Hiyo namba nne naomba nipingane nayo. Hayati JPM alionyesha uwezo wake wa kazi baada ya kupewa unaibu waziri. Na wapo wengi tu wanaozitumia vyema nafasi wanazopewa.

Mwanamuziki Fresh Jumbe alipewa kipande kidogo tu cha kuimba na Hayati Marijani Rajabu na hakufanya kosa, uwezo wake ukaonekana mpaka akapata nafasi ya kuimba Japan, ameishi huko miaka mingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…