mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee
Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee
Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
View attachment 2240815
Hutaki?Rubbish, hii nayo ya kuleta hapa? Au ulitaka kuonyesha shuka lake jipya?
Wacha zivaliwe. Zinasaidia kuonesha alivyo tofauti na mtangulizi wake.Hii mibarakoa sasa aachane nayo tu, mikutano ya wanasiasa kama mama hayupo hawavai barakoa angalia bungeni ila wakionana na mama tu ndio wanavaa kinafki
Masharti ya pesa za kuomba! Alishasema walitofautiana na mtangulizi wake, moja ya tofauti hizo ni hiyo!Hii mibarakoa sasa aachane nayo tu, mikutano ya wanasiasa kama mama hayupo hawavai barakoa angalia bungeni ila wakionana na mama tu ndio wanavaa kinafki
Sasa anavaa yeye tu na timu yake wengine hawavai kama bungeniWacha zivaliwe. Zinasaidia kuonesha alivyo tofauti na mtangulizi wake.
The boss is always right.Sasa anavaa yeye tu na timu yake wengine hawavai kama bungeni
Maamuzi ya mtu binafsi una mpangia?Sasa anavaa yeye tu na timu yake wengine hawavai kama bungeni
SawaMaamuzi ya mtu binafsi una mpangia?
Hata corona isinge kuwepo ukakutana na mtu kavaa mask yake wewe itakuhusu nanma gani?Sawa
Sasa anaupiga mwingi kivipi yani??? Kwenda msikitini ni kuupiga mwingi??? Jamani mungu tunusuru taifa letu tunaangamia kwa unafiki hadi natamani nife tu niyaache haya mapumbavuMama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee
Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
View attachment 2240815
Ni ujinga fulani hivi! Hata hayana maana tena!Hii mibarakoa sasa aachane nayo tu, mikutano ya wanasiasa kama mama hayupo hawavai barakoa angalia bungeni ila wakionana na mama tu ndio wanavaa kinafki
Wanawake huwa wana sehemu yao ya kuabudia msikitini, je Bi. Mkora naye huwa anakaa huko? Au anajichanganya na Mufti?Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee
Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
View attachment 2240815
Umeshinda mbona unapenda ligi? Si nimekwambia SAWA!!Hata corona isinge kuwepo ukakutana na mtu kavaa mask yake wewe itakuhusu nanma gani?