GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Watanzania ni Wanafiki kuliko Maelezo tena hasa Viongozi wa Dini kama hawa na Wanasiasa nasikitikaa tu kuwa Umechelewa kulijua hili.Hii mibarakoa sasa aachane nayo tu, mikutano ya wanasiasa kama mama hayupo hawavai barakoa angalia bungeni ila wakionana na mama tu ndio wanavaa kinafki