sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hii nchi hadi watu angalau asilimia 40 wajitambue inaweza kuchukua miaka 200Sasa anaupiga mwingi kivipi yani??? Kwenda msikitini ni kuupiga mwingi??? Jamani mungu tunusuru taifa letu tunaangamia kwa unafiki hadi natamani nife tu niyaache haya mapumbavu
Ila ipo siku huo utaratibu utakuja kuvunjwa tu,utasikia kwa heshima yake Rais leo tumemruhusu tusali nae pamoja,tena na aya moja haya ya uongo italetwa tu.....Wanawake huwa wana sehemu yao ya kuabudia msikitini, je Bi. Mkora naye huwa anakaa huko? Au anajichanganya na Mufti?
Wanaume hawana hayo mabanakoo.Hii mibarakoa sasa aachane nayo tu, mikutano ya wanasiasa kama mama hayupo hawavai barakoa angalia bungeni ila wakionana na mama tu ndio wanavaa kinafki
Ila siasa ikiletwa kwenye sheria za uislamu ni vitu viwili tofauti sana,sasa hapo Mufti alivyompokea inamaanisha nini ama ndio heshima,Upande wa wanaoingilia mlangoni wanawake ni tofauti na wanaume,hapo itakuwa hotuba ya Imamu itakuwa inasifia uongozi wake na sio hotuba kama inavyotakiwa iilenge jamii....halafu hapo kama alienda ibadani ni jambo lake binafsi na sio la kitaifa,Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee
Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
View attachment 2240815
Hata Kama Raia mmekataa kuvaa Barakoa yeye Kama Rais aliyepewa pesa za Corona lazima avae Barakoa hadi Mkataba wa Corona utakapo kwisha!! Pesa ya Mzungu hailiwi bure!!Hii mibarakoa sasa aachane nayo tu, mikutano ya wanasiasa kama mama hayupo hawavai barakoa angalia bungeni ila wakionana na mama tu ndio wanavaa kinafki
Duh! Hilo halitoweza kutokea mkuu.Ila ipo siku huo utaratibu utakuja kuvunjwa tu,utasikia kwa heshima yake Rais leo tumemruhusu tusali nae pamoja,tena na aya moja haya ya uongo italetwa tu.....
Kwani kuna kitu gani cha ajabu hapo, kama angeonekana kanisani akisali hapo ingekuwa habari. Acheni kutukuza binadamu, mortalMama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee
Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
View attachment 2240815
Hongera sana mamaMama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee
Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
View attachment 2240815
Mama yeye ndiyo alikubali kuchukua pesa za Corona ndiyo maana Wazungu wanamlazimisha avae! Wwe chunguza Viongozi wengi waliochukua pesa ya Corona kutoka kwa Wazungu wanavaa sana Barakoa kuliko wale waliokataa hiyo pesa!! Mfano mzuri ni Rais wa Africa kusini Ramaposa yeye nae full time anavaa Barakoa!!!Sasa anavaa yeye tu na timu yake wengine hawavai kama bungeni
Huyu mwenye gauni dark blue inaonekana mtata fulani kwa muonekano wake alivyo
Huyo si mwanamama wa msikitini isipokuwa mlinzi wa bosi. Alivyosimama, weka mikono na saa aliyovaa inamtambukisha vyema. Itoshe tu kusema yuko well geared na standby kwa lolote hapo alipo.Huyu mwenye gauni dark blue inaonekana mtata fulani kwa muonekano wake alivyo
Nilisema mimi na leo narudia, mpaka 2025 kuna watu watakuwa wameshaangamia kitokana na kihoro........kiukweli kuna watu wanamchukia balaa huyu mama! Wanajikuta tu hivyo yaani, sasa wanavyomuona anaendelea kuishi basi tabu tupu mioyoni mwao!!Sasa anaupiga mwingi kivipi yani??? Kwenda msikitini ni kuupiga mwingi??? Jamani mungu tunusuru taifa letu tunaangamia kwa unafiki hadi natamani nife tu niyaache haya mapumbavu
Lazima waongoze kwa mifano.Mama yeye ndiyo alikubali kuchukua pesa za Corona ndiyo maana Wazungu wanamlazimisha avae! Wwe chunguza Viongozi wengi waliochukua pesa ya Corona kutoka kwa Wazungu wanavaa sana Barakoa kuliko wale waliokataa hiyo pesa!! Mfano mzuri ni Rais wa Africa kusini Ramaposa yeye nae full time anavaa Barakoa!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Acha ateseke kwa ajili yetu๐ ๐ ๐ ๐Mama yeye ndiyo alikubali kuchukua pesa za Corona ndiyo maana Wazungu wanamlazimisha avae! Wwe chunguza Viongozi wengi waliochukua pesa ya Corona kutoka kwa Wazungu wanavaa sana Barakoa kuliko wale waliokataa hiyo pesa!! Mfano mzuri ni Rais wa Africa kusini Ramaposa yeye nae full time anavaa Barakoa!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
hawa viongozi wetu sio wa kuwaamini,wakiwaonaga viongozi akili zao zinapenda sifaDuh! Hilo halitoweza kutokea mkuu.
Jamhuri Kiwelu Alberto Tarantin Pereira, a.k.a JulioHee... Kumbe naye anamwabudu Mwenyezi Mungu..!
Alivyoamua Kutumia Jina La Jamhuri Kiwelo kutusalimia nikajua ni Yale Mapigo Ya Mzee Kingunge Ngombale Mwir...!
Safi sana mama ibada ni muhimu. Mungu kwanza.Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee
Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
View attachment 2240815
Ila ipo siku huo utaratibu utakuja kuvunjwa tu,utasikia kwa heshima yake Rais leo tumemruhusu tusali nae pamoja,tena na aya moja haya ya uongo italetwa tu.....