Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

jee ni zile fedha za mkopo wa covid 19 au ni ile Blair royale tour
 
2019 na mwaka huu mwanzoni alikua meko,kwahiyo General macho kodo yeye katuingiza kwenye uchumi wa mgao wa umeme
 
Tanzania imekuwa hapo tangu miaka minne iliyo pita. tena 2018 ilikuwa ya Nane. Pitia data kwanza.
Weee yaani kipindi cha mwendazake kulivyokua na sifa , hata mtoto mdogo angefaham aisee
 
Kazi nzuri sana
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
Siioni Botswana kwenye orodha
 
Kazi nzuri sana hii madame President
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…