Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

Yaani kila siku ni ujinga hakuna mapya,, unajisifia wakati wananchi hawana maji umeme,, uchumi gani huo,, au ndiyo ule wa kuwakamua wananchi wakati nyinyi mkisubiria mishahara minono mnoo
 
Yaani kila siku ni ujinga hakuna mapya,, unajisifia wakati wananchi hawana maji umeme,, uchumi gani huo,, au ndiyo ule wa kuwakamua wananchi wakati nyinyi mkisubiria mishahara minono mnoo
Hii ni roho mbaya tu mkuu
 
Unaposhindanisha Tanzania ambayo haujawahi kupata vita hata siku moja na nchi kama Congo, Sudan, etc unatarajia nini? Kwanza hauoni hii ni aibu kuwa na u huni mbovu kiasi hiki ingali tuna kila rasilimali na hatujawahi kuwa na civil unrest????

Sidhani kama ni sahihi kujipima na nchi zenye vita miaka yote, tujipime na Ulaya na Asia.
 
Umelipwa kiasi gani !.
 
Acheni sifa za kijinga,WaTz bwana.Hivi katika muda huu mfupi kiasi hiki kafanya nini to make that possible?Huu ni unafiki of the highest order.Au ndio campaign zimeanza hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…