Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
View attachment 3610173
✅️Mbunge aeleza alivyoanza kuwatoa Watanzania kuombaomba misaada.
✅️Aeleza alivyoondoa utegemezi Kidogokidogo hadi kubakia asilimia 0.9
✅️Alianza kupunguza kutoka Shilingi trilioni 1,Shilingi bilioni 925,Sasa bilioni 563.
Hawa chawa ni viazi vitamuNi kweli ameweza kuondoa utegemezi na sasa Deni la Taifa ni Tsh. Trillion 114.3 na linaendelea kushuka kwa kasi... Na mategemeo yetu baada ya mwaka 2030 Deni hili litaisha kabisa na kufikia Tsh. Trillion 145 ambapo tutakuwa hatudaiwi...
Kazi na utu, tunasonga mbele
Nchi za kiafrica!Hawa chawa ni viazi vitamu
Hovyo kabisa...!