Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
Huo si mradi wa CCM,Huku Watanzania wanachangishiwa gharama za matatibu na Malisa G, kipaumbele ni ndege badala ya afya za watu.
CCM ndiyo inaongoza serikaliHuo si mradi wa CCM,
CHADEMA Ndio mnapata pesa hapohapo, Nani kawapa kibali hicho?CCM ndiyo inaongoza serikali
Kibali cha nini?CHADEMA Ndio mnapata pesa hapohapo, Nani kawapa kibali hicho?
Kuchangisha WatanzaniaKibali cha nini?
Kuna kibali online?Kuchangisha Watanzania
Ndio wapi?Tahmed bei gani?
Biashara baina ya nchi za kiafrika ni ghali kuliko Afrika na mabara mengine. Kuna ripoti nilipata kuiona bahati mbaya nimesahau title yake ningeku-cite uipitieDar -Oman ni laki tano tu kwa Oman Air.
Dar - Nairobi laki saba.
Hivi Oman na Nairobi wapi mbali?